Hii ni hatari, huyu mwanamke atazua balaa!

Hii ni hatari, huyu mwanamke atazua balaa!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Eti hakuna cha classmate!!!!
Huko sahihi kabisa. hawa mnaowaita mabest ni hatari sana. hata siku moja hakuna mwanaume anaweza kuwa just a friend na mwanamke
 
Anaetambua mipaka hakuweki kwenye target bwana.
Kama ulivyosema mwanzo kuwa huwa hakuna kutongozana...na hii inakuwa hakuweki kwenye target ila ipo siku mtajikuta wote mpo hoi kwenye feellings mnaona si chochote kupeana hata siku moja
 
Mhh kwanini alikubali kuolewa kama anajua bado anataka mchezo.
 
Kama ulivyosema mwanzo kuwa huwa hakuna kutongozana...na hii inakuwa hakuweki kwenye target ila ipo siku mtajikuta wote mpo hoi kwenye feellings mnaona si chochote kupeana hata siku moja
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Alafu siku moja inazaa siku nyingine.
 
duh ulimpa nini huyo?miaka 10 bado anahamu na ww ! mhhh!kizazi hiki kimechafuka sana!
Aisee mpaka leo sijui ila nahisi siku zote anaishi akiamini mimi ndiye mtu sahihi kwake
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Alafu siku moja inazaa siku nyingine.
Ewaaaa! Mnaanza kuzoea hali mwisho wa siku ndo inakuwa michezo yenu, mmoja akimmiss mwenzie mnatafutana mnayajenga
 
Huyo binti kwanza nitamaa ya kuolewa ndiyo maana kaolewa pili alichokitaka kwa mumewe hapati ndiyo maana anakuganda ila sasa kama unampatia kuliko mumewe jiandae kukamatwa atakuponza jitenge mbali nae au ili asikuzoee nawewe tafuta mke uoee kwisha mchezo
 
Imagine mkeo angekua anafanyiwa hivo na mjinga flani kama unavofanya wewe,, mambo mengine mnajiendekeza haiitaji hata kuomba ushauri au akili za chekechea kujua kua mke wa mtu sumu
 
Habari kama hizi nishazishuhudia sana, wengine huenda mbali hadi kuzaa, yaani lazima apate chata ya huyo anayempenda.

BTW mapenzi na best friend huwa yananoga sana.
Asante mama kwa kuwa muwazi, ndio maana kuna usemi usemao ukioa mwanamke ambaye ashapoteza usichana wake umeoa mke wa mtu japo baadhi huwa wanatulia
 
Naona dalili ya FUMANIZI la mwaka...RUN as fast as your legs can take you Mr.
 
Mkuu shida yako haswa ni ipi?kujua kama yupo wa aina hio au kama tumewahi kukutana nao????hilo swala mbona lipo uchi kua wapo au kuna shida nyingine?
 
MKUU HATA MIMI HIYO HALI IPO TENA SIYO MWANAMKE MMOJA, ILA KWA KUWA WAMEOLEWA NAJITAHIDI KUWAKWEPA, MKE WA MTU SUMU SOMO!
AKIKUULIZA UPO WAPI MWAMBIE UPO KWENYE SHUGHULI ZAKO UTARUDI USIKU SANA. HATA KAMA UPO FREE MWAMBIE UKO NA WATU.. BAADA YA MUDA ATAACHA KUKUGANDA. KUMBUKA WADADA WENG WAKIZAMA MAPENZINI HAWAFIKIRI SANA, HVYO UNATAKIWA KUONESHA MSIMAMO KATIKA HLO.. VINGNEVYO UTAJAZWA, SIKU ZA MWIZI 40
 
Imagine mkeo angekua anafanyiwa hivo na mjinga flani kama unavofanya wewe,, mambo mengine mnajiendekeza haiitaji hata kuomba ushauri au akili za chekechea kujua kua mke wa mtu sumu
Mkuu kuna msemo wa kizungu unaosema "Love Is Blind" kama umewahi kulichambua hilo neno vizuri huwezi kumlaumu mwenye uzi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom