Ibilisi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2017
- 3,465
- 5,586
Duuh BP on the way
ahahaaa
Nilijikuta nipo Voda bila kujua nimefikaje halafu kila wakinielewesha sielewi ahahaaaa lisikie kwa mtu na haikuwa kubwa kivile
polehii ni kubwa zaid
Subiri atakupa "Mkungu" muda si mrefu.![]()
Hii picha yanikumbusha jinsi watu walivyo wazembe na kutokuwa na tahadhari.Wanapenda kusema "hakuna neno bwana, iko sawa."
Iko siku nilimpa kijana wa bodaboda mkungu wa ndizi anipelekee nyumbani.Akauweka kwenye pikipiki bila kufunga na mpira kama ilivyo kawaida. Nilipomwuliza akaniambia kwa mikogo mingi sana, "mama, hii kazi tunaijua, hakuna kitakachoharibika"
Mkungu ulidondoka ukasagikasagika leo hii namdai mkungu wangu.
Hapo kwenye mayai pia kuna tatizo ambalo halikuzingatiwa kwa sababu ya uzembe wa wahusika
Unamfahamu huyo kijana wa bodaboda?Subiri atakupa "Mkungu" muda si mrefu.
Namsikia sikia hapa mtaani. Huwa anatabia ya kuharibu 'mali' za wanawake ili ukimfuata fuata akuharibu zaidi. Achana naye kabisa.Unamfahamu huyo kijana wa bodaboda?
Subiri atakupa "Mkungu" muda si mrefu.
Namsikia sikia hapa mtaani. Huwa anatabia ya kuharibu 'mali' za wanawake ili ukimfuata fuata akuharibu zaidi. Achana naye kabisa.
Asante Numbisa. Nimekupendaje yaani!Mkuu kuwa na heshima japo kidogo,unachomaanisha hakiendan na kile alichoandika Naisujak. Kama bandiko hukulipenda ungepita kimya sio kuleta kejeli huo mkungu anaoongelea hauna mabano. Anachodai ni mali yake iliyoharibiwa kwa uzembe