[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Masikini weee.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Maanina naenda vofa shop tena sifuti hio sms ili nisipoteze ushahidi. Wanatoaje dakika zote izo wakat ata nikiacha sm hewani ni zaid ya masaa 24
Duh, hii hasara nlikuwa sjaiona asee,,wako siriasi??
Hapo lazima upooze upande, tena hio Gb 10000 alafu simu yenyewe ni zile chatting device [emoji2] [emoji2]
Kama ni tangazo la kweli, kazi ipo safari hii.
Hii nadhani ndo hasara kubwa kuliko zote zilizowekwa humu😀😀😀
Wameisharudisha vyeti baada ya kupata elimu
MI LINA NIUMA KAMA LANGU VILEE!Dah ili jengo linaniuma kama la babaangu[emoji22] [emoji22] [emoji22]
Pole mkuu, tuliombee may be likapona[emoji3] [emoji3]MI LINA NIUMA KAMA LANGU VILEE!
Nilijikuta nipo Voda bila kujua nimefikaje halafu kila wakinielewesha sielewi ahahaaaa lisikie kwa mtu na haikuwa kubwa kivile