Hii ni haki ya mtu,kujinyonga,kutoa mimba,ushoga iwe rukusa

Bhanunu

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
798
243
Ningekuwa rais wa nchi ningeruhusu kujiua , na kutoa mimba , ushoga na ulevi , kwa wale wote wenye umri wa kujua jema na baya
maana sheri haiwezi kulinda kizazi
 
Itabidi pia uruhusu watu kuua wengine ili kupunguza idadi ya wapumbavu kwenye Jamii.... Na ukisharuhusu tu naanza kukuua wewe.

Hujielewe mtu akitaka kujiua sheria itasaidia nini na asiyetaka mtoto utamrazimisha jibu shwari maana mko bussy hamasisha chuki
na kuacha kufundisha watoto hofu ya Mungu
 
Ningekuwa rais wa nchi ningeruhusu kujiua , na kutoa mimba , ushoga na ulevi , kwa wale wote wenye umri wa kujua jema na baya
maana sheri haiwezi kulinda kizazi

Usisahau kuruhusu na uzurulaji
 
na kuacha kufundisha watoto hofu ya

Mungu

Mpuuzi wewe umetoa uzi wako wa kibwege mara waislam wanafurahia.majanga ya nchi za kimagharibi umekosa hoja sasa umekuja na uzi mwingine kudhihirisha USHOGA wako

Huna haya Mptuuuuuuuuuuuuuuu......Huyo Mungu wako ndie amekupa ruksa ya kuingiliwa na madume wenzio.......nsije nkatapika ptuuuuuuuuu
 
Hujielewe mtu akitaka kujiua sheria itasaidia nini na asiyetaka mtoto utamrazimisha jibu shwari maana mko bussy hamasisha chuki
na kuacha kufundisha watoto hofu ya Mungu

Kama unataka iwepo haki ya kutoa mimba jua pia kuna haki ya kuishi. Ukitoa mimba yule mtoto umemnyima haki yake ya kuishi maana hakuridhia umuue. Kama hautaki mtoto kwa nini upate mimba? Mkuu na wewe ni muumini wa mabwabwa?
 
Ningekuwa rais wa nchi ningeruhusu kujiua , na kutoa mimba , ushoga na ulevi , kwa wale wote wenye umri wa kujua jema na baya
maana sheri haiwezi kulinda kizazi

Lazima ukapimwe Akili wewe kubwa jinga.
 
Mpuuzi wewe umetoa uzi wako wa kibwege mara waislam wanafurahia.majanga ya nchi za kimagharibi umekosa hoja sasa umekuja na uzi mwingine kudhihirisha USHOGA wako

Huna haya Mptuuuuuuuuuuuuuuu......Huyo Mungu wako ndie amekupa ruksa ya kuingiliwa na madume wenzio.......nsije nkatapika ptuuuuuuuuu

Wewe mwenyewe unauzaifu wako nimabinti wangapi umewatoa mimba na unazin mara ngapi umsafi wewe au toa boriti machoni mwako umekimbia mimba ngapi
 
Lazima ukapimwe Akili wewe kubwa jinga.

Kwani utawakagua vijana kwenye mageto wanako lala au wafundishen watoto kumtii mungu na mkae nafamilia achani kuzaa watoto ovyo na kuwaacha wakuwe bila maadili
 
Wewe mwenyewe unauzaifu wako nimabinti wangapi umewatoa mimba na unazin mara ngapi umsafi wewe au toa boriti machoni mwako umekimbia mimba ngapi

Sa ndo umeongea nn povu tupu huna hoja.......utabaki kua MFU TÚ......bahati mbaya Sina mda wa kulumbana na WAFU maana hoja zenyewe huna zaid ya POVU TÚ......DUME ZIMA LINAPUMULIWA KISOGONI HUONI HAYA.........MPTUUUUUUUUU.........unatamani ungekua mwanamke....poleeeeeee we
 
Usisahau kuruhusu na uzurulaji

Kama unataka iwepo haki ya kutoa mimba jua pia kuna haki ya kuishi. Ukitoa mimba yule mtoto umemnyima haki yake ya kuishi maana hakuridhia umuue. Kama hautaki mtoto kwa nini upate mimba? Mkuu na wewe ni muumini wa mabwabwa?

Kwani asipo taka kuzaa na wewe umemkimbia au umembaka atamleaje mtoto
 
Back
Top Bottom