Hii ni dharau kwa wachaga

Hii ni dharau kwa wachaga

wachaga sio wote wenye pesa na sio wote ni jamii bora wapo pia wale bora jamii vilevile wahaya wapo wenye nazo wapo walala hoi wapo jamii bora na bora jamii wakinga pia vile vile wazungu vilevile waarabu vilevile na makabila yote wapo wenye umbo 8 wapo 1 wapo P cjui mnatoana mapovu ya nn au ndo nyny bora jamii?????
 
Wachagga wezi sana. Ndo waliojaa magerezani kwa 'takwimu' zilizopo...

Wana ukabila sana. Ndo waliojaa TRA.

Wanapendelewa sana na serikali ndo maana wamejaa kwenye mashule mazuri...

Na hiyo yote shauri ya maumbile yao mabaya. Wapi Meseeee na kati ya Archugga......
 
Wachagga wezi sana. Ndo waliojaa magerezani kwa 'takwimu' zilizopo...

Wana ukabila sana. Ndo waliojaa TRA.

Wanapendelewa sana na serikali ndo maana wamejaa kwenye mashule mazuri...

Na hiyo yote shauri ya maumbile yao mabaya. Wapi Meseeee na kati ya Archugga......

Kama unafikiri kupendelewa ni dili basi endelea kuwaza kupendelewa hadi na wewe utakapopendelewa. Kalagabaho
 
Huyo mchaga ndo mwenye makalio makubwa huko uchagan au?????
 
Tena wekeni ua picha za nyumba za vijijin kwao kwa hayo makabila mengine.ee bwana ee wachaga kwa maendeleo,wachaga lwa face nzuri wachaga we acha tu.wenye wivu wajinyonge lwa makalio
 
Tatizo lenu mmezidisha chuki dhidi ya wachaga, kila siku mnawaponda wachaga inaonyesha tunawanyima sana usingizi. Halafu ktk swala la kielimu usitulinganishe na wahaya, wahaya walikuwa zamani sio sasa tumewapiga gap kubwa. Kati ya Kilimanjaro na bukoba ni mkoa upi unaoongoza kielimu? Mkoa upi unaoongoza kuwa na shule nyingi?.... Tumewekeza ktk elimu sio nyinyi mnakalia chuki udini na majungu.

Acha uongo, idadi ya wachaga walioenda elim ya juu sio kubwa zaidi ya wahaya.Afu umekaa kiconservative siku izi hadi wagogo wanasoma.
 
Wachina hawana makalio ila wanakimbiza uchumi wa dunia.kuna wengine wanafikir kuwa na makalio kunawasaidia.labda mnipe faida yake.Maana wachaga ni wachina wa tz roho zinawauma wengi.Maendeleo ndo mpango makalio hata dukan yapo ila tunaridhika na yetu haturidhiki tu na maendeleo tutazid kuwakimbiza.
 
Wachaga sio bora kuliko makabila mengine! Na ndio maana kwa majigambo yenu kushika hatam ya nchi bado sana.Mmekaa kiwiz wiz tu
 
Matako ya mwanamke yanakusaidia nini katika maisha??? Ishu ni hela...MOSHI- Mungu Onesha Sehemu Pesa Ilipo..... Maisha siyo mapenzi tuu au tamaa za mwili.... Wekeza kwenye elimu na biashara ili upate mafanikio..... Iga wachagga ufanikiwe......
 
Mnaibiwa na wachagga kwa ujinga wenu.... Huwezi kuwa mwizi kama hakuna mtu mjinga kama wewe.....
 
Lakin kwa sura ni wazuri, pia wengi wao ni weupeeee!! Ngosha akiona anauza ng'ombe fasta.
 
Back
Top Bottom