Hii ni dharau kwa wachaga

Hii ni dharau kwa wachaga

Nimegundua kwanini wachagga wanamiliki uchumi kwa asilimia kubwa Tanzania kuliko makabila mengine, nyie wazeni uzinzi..!
 
Nimegundua kwanini wachagga wanamiliki uchumi kwa asilimia kubwa Tanzania kuliko makabila mengine, nyie wazeni uzinzi..!

Katika jiji la Dar ,wachaga ndio wanaongoza kwa kuwa na wanawake wengi!

Kwa mantiki hiyo,watakuwa wanaongoza kwa UZINZI!!
 
Acheni wivu wa maendleo wachaga 2po na tutaendelea kuwepo.Wachaga wose nyinda mbon tan?Oshon lune mtori!

Baelezeee hao vyasaka dada ze2 wko poa sana acha tuowane wenyewe kwa wenyewe wao waoe dada zao wenye shape,vyasaka tupa kule
 
Teh...sasa nyuma kanachungulia nn maskini..
 
Dah...ni ukwel unaouma,ndio ni ndugu zangu hawa wachaga ila siyo vzr mlivyofanya...
 
Mleta uzi na wenzake wanawaza makalio tu ya wanawake. wakati wachaga wanawaza hela na maendeleo. hapo ndipo mchaga anapowapigia bao makabila mengine.

inaonyesha ni jinsi gan akili zao zilivyo....(zipo kwenye mataaaangoo)
 
Back
Top Bottom