Hii ni dharau kwa wachaga

Hii ni dharau kwa wachaga

Akili zote zipo kwenye ngono hamuwazi maendeleo kazi kuwaza ngono tu na udini kila siku mnatusakama. Daima milele wachaga tutaendelea kuwa juu kuanzia kielimu na kimaendeleo , nyie endeleeni tu kujisifu ujinga sisi akili yetu ipo katika kutafuta pesa hayo mengne ya ziada tu.

Uongo kielimu na kiuchumi wahaya wapo juu yenu! Kiuchumi hata wakinga hamuwashiki siku izi.Mbona hilo swala la tako limekukera kwan ukiwa na nye ndogo huendi uani? Hata bata anawaza ngono ndio maana anamdandia mwenzie
 
Nimegundua kwanini wachagga wanamiliki uchumi kwa asilimia kubwa Tanzania kuliko makabila mengine, nyie wazeni uzinzi..!

Sio kweli....wanaomiliki uchumi wa nchi kwa sasa ni wakinga, wahindi na waarabu.
 
Uongo kielimu na kiuchumi wahaya wapo juu yenu! Kiuchumi hata wakinga hamuwashiki siku izi.Mbona hilo swala la tako limekukera kwan ukiwa na nye ndogo huendi uani? Hata bata anawaza ngono ndio maana anamdandia mwenzie

Tatizo lenu mmezidisha chuki dhidi ya wachaga, kila siku mnawaponda wachaga inaonyesha tunawanyima sana usingizi. Halafu ktk swala la kielimu usitulinganishe na wahaya, wahaya walikuwa zamani sio sasa tumewapiga gap kubwa. Kati ya Kilimanjaro na bukoba ni mkoa upi unaoongoza kielimu? Mkoa upi unaoongoza kuwa na shule nyingi?.... Tumewekeza ktk elimu sio nyinyi mnakalia chuki udini na majungu.
 
Wakinga wanamiliki uchumi gani?? ule wa pale Kariakoo tu ndio uchumi?? Kuna Mkinga yeyote anaemiliki Biashara au Taasisi ya kueleweka hapa Tanzania?? Acha kujitoa ufahamu bwana, alafu uchumi usifikiri ni biashara pekee.. Wakinga wana connections gani hapa nchini?? Fanya utafiti wazabuni wengi wanaoshinda tender za serikali ni wahindi na wachagga, hata hapo Mwanza hakuna Mkinga yeyote anayejulikana zaidi ya kina LEMA wanaofanya biashara hapo tangia miaka ya 70
 
Uongo kielimu na kiuchumi wahaya wapo juu yenu! Kiuchumi hata wakinga hamuwashiki siku izi.Mbona hilo swala la tako limekukera kwan ukiwa na nye ndogo huendi uani? Hata bata anawaza ngono ndio maana anamdandia mwenzie

Wahaya ni smart sana darasani ila ni very minority ambao wako hivo.. Ukimkuta muhaya smart ni smart sana, ila kiuchumi huwezi kufananisha Mhaya na Mchagga, hata Bukoba na Moshi tu inajieleza, hii case yako ya Mhaya na Mchagga ni kama Wajaluo na Wakikuyu Kenya. Wajaluo wako smart na wanathamini sana elimu na wako radhi walale njaa ila mtoto hata wa mjomba aende shule. Ila still Wakikuyu wengi ndio wameenda shule na ndio wameliki wa Uchumi wa Kenya..

Yote Kumi angalia performances za shule za Bukoba Vijijini (Uhayani) na Vijiji vya Moshi (Uchaggani) utapata jibu sahihi..
 
Kuna wapuuzi bado wanaamini kuwa ni wachaga tu wanapenda pesa. kuwa ni wachaga tu weupe. Kuwa ni wahaya na wakurya tu weusi. kuwa ni wahaya tu ma....ya. Hayo mambo yamepitwa. Hii social intercourse and interaction imeleta mchanyato sana. Hayo mengine yamebaki historia tu.
 
Uongo kielimu na kiuchumi wahaya wapo juu yenu! Kiuchumi hata wakinga hamuwashiki siku izi.Mbona hilo swala la tako limekukera kwan ukiwa na nye ndogo huendi uani? Hata bata anawaza ngono ndio maana anamdandia mwenzie

endelea kujifariji
 
Wahaya ni smart sana darasani ila ni very minority ambao wako hivo.. Ukimkuta muhaya smart ni smart sana, ila kiuchumi huwezi kufananisha Mhaya na Mchagga, hata Bukoba na Moshi tu inajieleza, hii case yako ya Mhaya na Mchagga ni kama Wajaluo na Wakikuyu Kenya. Wajaluo wako smart na wanathamini sana elimu na wako radhi walale njaa ila mtoto hata wa mjomba aende shule. Ila still Wakikuyu wengi ndio wameenda shule na ndio wameliki wa Uchumi wa Kenya..

Yote Kumi angalia performances za shule za Bukoba Vijijini (Uhayani) na Vijiji vya Moshi (Uchaggani) utapata jibu sahihi..

ni kosa kubwa sana kufananisha wachaga na wahaya! ni sawa sawa na kufananisha mlima kilimanjaro na kichuguu! WAHAYA WAPO NYUMA SANA
 
Nenda uko ni wivu tu umekujaa wachaga tutaendelea kuwa juu tu. Kama mnashinda ktk maumbo unategemea maendeleo hapo? Af mnakuja kulalamika eti wachaga wabinafs kumbe akili zenu ndio zipo kibinafsi

Ntakushangaa kama ni mmoja wa wenye fikra za kipumbavu zinazosababisha muone kuwa mnasakamwa. Kwa taarifa yako, Wachaga sio jamii bora hapa nchini, ingekuwa ni hivyo, Moshi mjini pangejengeka kuliko Arusha.
 
ni kosa kubwa sana kufananisha wachaga na wahaya! ni sawa sawa na kufananisha mlima kilimanjaro na kichuguu! WAHAYA WAPO NYUMA SANA

Ukienda hata kule vijijini kwao utapata jibu... Hata pale Mjini kwao ni vituko sana.. Nenda mkoa wowote wakutajie wafanyabiashara maarufu hapo utakutana na majina ya Kihindi, Kiarabu na Kichagga..

Honestly wahindi ndio wamiliki wakuu wa Uchumi wetu, sababu all big and hot deals hapa nchini serikali ya CCM inawapa wao kwa this called Chagga inferiority.. Ila deals za Makampuni mengi binafsi wahindi tunawakimbiza huko. Nenda kwenye International Schools kama IST, ISM, HOPAC, Brueburn utakuta wengi walioko huko ukitoa watoto wa mabalozi ni wahindi na watoto wa kichagga. Tanzania competition ya kweli iko kati ya Mhindi na Mchagga..
 
Ntakushangaa kama ni mmoja wa wenye fikra za kipumbavu zinazosababisha muone kuwa mnasakamwa. Kwa taarifa yako, Wachaga sio jamii bora hapa nchini, ingekuwa ni hivyo, Moshi mjini pangejengeka kuliko Arusha.

Arusha imejengwa na Mchagga.. Na wachagga ndio wanatawala pale.. hujui kwa miaka 15 iliyopita Mchagga ndio Mbunge pale?? Nenda Arusha utajiwe matajiri wa pale na property zao pale mjini kuanzia Mahotel and Other Buildings, almost 90% of them ni za wachagga.. Wenye mashimo kule Mererani wengi ni Wachagga, Tours Company nyingi pia zinamilikiwa na Wachagga.. Arusha imejengwa na Elerai Construction ambayo pia ni mali ya Mchagga.. Hapo ni Arusha bado Mwanza, nenda Mtwara pia utawakuta wengi tu na ndio wanaujenga mji sasahivi. Mtu wa kwanza kujenga Ghorofa kwa ajili ya office na biashara pale Mtwara ni Mchagga

Moshi unataka kufananisha na wapi?? Unafananisha Moshi na Bukoba kwa Wahaya?? au Moshi na kwa Wakinga?? Na ujue tu pamoja na CCM kuzuia maendeleo pale kwa nguvu zote tangia enzi za Nyerere bado tunasonga tu.. And Im proud property zilizoko Moshi 99% zinamilikiwa na Wachagga na Wapare, Serikali hawana chao pale
 
Asante kwa kumuelewesha maana wamejaa chuki na wivu hawapendi kuona wachaga tukisonga mbele
 
Tatizo lenu mmezidisha chuki dhidi ya wachaga, kila siku mnawaponda wachaga inaonyesha tunawanyima sana usingizi. Halafu ktk swala la kielimu usitulinganishe na wahaya, wahaya walikuwa zamani sio sasa tumewapiga gap kubwa. Kati ya Kilimanjaro na bukoba ni mkoa upi unaoongoza kielimu? Mkoa upi unaoongoza kuwa na shule nyingi?.... Tumewekeza ktk elimu sio nyinyi mnakalia chuki udini na majungu.

Shule za kikatoliki ndio nyingi kilimanjaro na watu kutoka sehemu nyingine ndio wanakuja kusoma huko na wahaya wakiwemo, umeona matokeo mwaka huu O Level walivyopaa mkoa wa Kagera halafu achana na mikoa iliyozungukwa na maziwa wana akili sana kwa ajili ya kula samaki.
 
Back
Top Bottom