Hii ni dharau kwa wachaga

Hii ni dharau kwa wachaga

Wachaga sasa ni pilipili inayowasha kila kona ya hii nchi... sio kwenye siasa, biashara na elimu kote shida tu. Na bado sasa hivi mnaila huko mbeleni mtainya na bado itawawasha tu.
 
Hii thread nimepita tu, but inafaa wanawake na mashoga.
MTi wenye matunda siku zote haukosi kutupiwa mawe. Binafsi sipendi makalio Makubwa. Napenda English figure. I think ile tabia ya kupenda maumbile Makubwa is out dated.

Sioni kitu cha kujuvunia hapa...
 
Back
Top Bottom