Vegetarian
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 657
- 515
Wa hapahapa Huyo wako mchaga wa shamba.
Acheni wivu wa maendeleo...
haipiti wiki wachaga hawajatajwa huku Jf
inaonyesha ni jinsi gan tulivyo muhimu katika hii nchi
alafu hawajui kukatika...
wapo kama magogo kitandani
Endelea kuwaza....
haipiti wiki wachaga hawajatajwa huku Jf
inaonyesha ni jinsi gan tulivyo muhimu katika hii nchi
Mleta uzi na wenzake wanawaza makalio tu ya ...
haipiti wiki wachaga hawajatajwa huku Jf
inaonyesha ni jinsi gan tulivyo muhimu katika hii nchi
Acheni wivu wa maendleo wachaga 2po na tutaendelea kuwepo.Wachaga wose nyinda mbon tan?Oshon lune mtori!
Endelea kuwaza kukatika viuno kitandani, wakati wachaga wanawaza kumiliki uchumi wa nchi.
Na watajwe tu. Tumechoka majivuno yao. Wakati wanataka watu wote wawatambue kuwa ni jamii bora, hawakujikagua kama mtu aliyevaa nguo mpya bila ya kujiangalia kwenye kioo na kujikuta kuwa, kumbe nguo mpya waliovaa ina matobo na mabaka yasitotakata.
Akili zote zipo kwenye ...
Nyaa nke muna maaye ako.Acheni wivu wa maendleo wachaga 2po na tutaendelea kuwepo.Wachaga wose nyinda mbon tan?Oshon lune mtori!
Akili zote zipo kwenye ngono hamuwazi maendeleo kazi kuwaza ngono tu na udini kila siku mnatusakama. Daima milele wachaga tutaendelea kuwa juu kuanzia kielimu na kimaendeleo , nyie endeleeni tu kujisifu ujinga sisi akili yetu ipo katika kutafuta pesa hayo mengne ya ziada tu.