Hii ni dharau kwa wachaga

Hii ni dharau kwa wachaga

Acha uongo, idadi ya wachaga walioenda elim ya juu sio kubwa zaidi ya wahaya.Afu umekaa kiconservative siku izi hadi wagogo wanasoma.

Umesoma wapi wewe?? Group Discussion langu la chuo kati ya watu 10 wachagga tulikuwapo 4, na Mhaya mmoja. Darasa langu la watu 70 karibia watu 20 walikuwa wachagga. Nimeshakwambia wahaya ni smart darasani na hiyo ndio sifa yao kubwa. Pale UDSM idadi ya maprof wa kichagga na kihaya zinarandana..

Pia, wahaya wao wanapenda sana elimu na ndio maana icon zao ambazo ni successful wengi wako kwenye nyanja ya utumishi (maproffessor) ila Mchagga yeye hawazi elimu ya vyeti pekee ndio maana wachagga wengi hawataki kuajiriwa wanakimbilia kumiliki uchumi wao binafsi. Kuna rafiki yangu mmoja alifaulu vizuri tu form 6 na alipata chuo UD ila akwenda chuo akabaki mtaani na sasahivi yuko mbali sana kiuchumi.

Narudia tena wahaya are very smart in class
 
Mdigo huyu
 

Attachments

  • 1425844644459.jpg
    1425844644459.jpg
    11.7 KB · Views: 176
Kweli nimeamini mti wenye matunda mazuri ndio hurushiwa mawe kila siku maana haipiti hata siku moja bila wachaga kuandikwa andikwa humu jf. Big up all Chagas ila mtupe na sisi Wazaramo siri ya kuifahamu pesa
 
rulu mbona mchaga jamani, hamukioni kiwezele chake??
 
acheni ubwege wahaya walipata acces ya elimu mapema lakini ni vilaza tu.wanakariri sana ndo maana wanasoma art sana.
 
Back
Top Bottom