Mazoea yanaleta dharau

Mazoea yanaleta dharau

jamaikatz

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2023
Posts
393
Reaction score
1,385
Usije ukaruhusu hata siku moja watu wakuzoee kupita kiasi.

Acha wakuone unalinga, unavimba na unajisikia pia, kwa sababu watu wakikuzoea sana mazoea huwa yanaleta dharau.

Jua kusoma nyakati
Ngoma ikivuma sana
mwisho wake hupasuka.
 
Bora watu walalamike unajitenga, unaringa n.k kuliko kulalamikiwa unajipendekeza, ni tegemezi n.k!!

Lawama kundi laa kwanza huja na heshima ndani yake na always huwa n ya watu kukuhitaji.... ila hii ya pili huwa n dharau na fedheha!!

kwahyo nakuunga mkono kabisa: kuhitaji attention za kijinga ndo chanzo cha kuporomosha brand
 
Kweli mazoea yasizidi sana
 
Back
Top Bottom