Agent-47
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 783
- 2,780
ukiachana na yule mama aliyepigwa shaba akikimbia, kuna story ya jamaa mwimgine inasambaa-imeniumiza.
Kuna bwana mmoja, kazi yake ni mlinzi. Inaonekana bwana huyu aliondoka kwenda shift zake ya kazi tarehe 28/10 jioni. Amerudi 31/10. Amekutana na kitu ambacho hauwezi hata kumuombea adui yako. Amekuta mke wake mjamzito, na kijana wake mwenye ulemavu wa miguu wote wamepigwa shaba. Hawana uhai tena.
Watu wa mwanza. Hebu tusaidieni kupata taarifa zaidi za huyu bwana.
Edit:
Nimeona kısa kingine kinafana na hiyo case hapo juu. 👇