Hii ni Collateral damage au ilikuwa makusudi?

Hii ni Collateral damage au ilikuwa makusudi?

Uislam unasema hivii...ALIYEUA MTU BILA YEYE KUUA AU KUFANYA UCHAFUZI KTK NCHI BASI NI KAMA AMEUA WATU WOTE
Huyo mama enu ameua watu wasio na hatia hana uislam wowote
Mshenzi mmoja anadhalilisha uislam na kutukanisha tu hana cha dini wala shetani tu huyooo

Huo hapo msahafu!

20251105_080841.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom