Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,082
- 62,001
Ni akiliSasa, hii ni akili au kukengeuka?
Una faida yoyote?Unaitwa usasa huo
Kwa nini?Ni akili
Inategemeana na perception ya mtu kimazingira ina faida zake na kulika mboga mboga kuna faida mengi sasa inategemeana na mtu ndani ya ubongo wake anataka kwake paweje ni suala la choice tuUna faida yoyote?
Anayefanya hivyo, mbogamboga anapata wapi?Inategemeana na perception ya mtu kimazingira ina faida zake na kulika mboga mboga kuna faida mengi sasa inategemeana na mtu ndani ya ubongo wake anataka kwake paweje ni suala la choice tu
Tupe uzoefuAcha kukariri bwashee vyote hivyo nimefanya kwangu
Mautandawazi ,umagharibi mwingi mkuu,maulaya mengi plus ma u Asia mengiAnayefanya hivyo, mbogamboga anapata wapi?
Ni Uzungu wa ulimbukeni wa KUKENGEUKA.Zamani tulikuwa tukijenga nyumba zetu, tutaweka bustani ndogo ndogo za mbogamboga na mtunda, mabanda ya mifugo midogo midogo ili utakapo hitaji chochote iwe ni rahisi kupata hapo ulipo.
Nyakati hizi hatujui ni pepo gani ametuingia, tumehama katika hizo bustani na ufugaji mdogo mdogo, na kukimbilia kwenye uoteshaji wa bustani za maua, ukoka n.k na wakati mwingine kusiliba eneo lote kwa siment au vitofali ili tusioteshe chochote. Huku ukigharamia bili za maji za kunyweshea maua yasiokuwa na faida.
Sasa, hii ni akili au kukengeuka?
Maana yake atakula kitu ambacho hazalishi mwenyewe?Mautandawazi ,umagharibi mwingi mkuu,maulaya mengi plus ma u Asia mengi
Yap upo right ✅ ni choice tu #tunagawana majukumu tu hutaki wauza mboga waokote kwa wapanda maua mkuuMaana yake atakula kitu ambacho hazalishi mwenyewe?
Ni Uzungu wa ulimbukeni wa KUKENGEUKA.
lockdown ikitokea utakula hiyo bustaniNakula pombe nipo kwenye bwana langu la kuogelea , pembeni kuna bustani ya kupendeza wewe unateseka ukiwa wapi? Gademitt
Wabongo tunapenda ujinga Ujinga sana ,tunapanda mikoka na kuweka pavement wakati tungeweza kupanda tembele au majani ya maboga tukapa nutrients;Ukiitafakari kwa kina hii, utagundua ata utu unapotea kwa sababu ya kupenda au kutanguliza hela mbele, kwa sababu hatuwezi kuzalisha ata fungu la mchicha la 500 kwa mazingira tunayoishi.
Kutokuwa na hivyo vitu, vitakupelekea kupenda sana hela na utatumia njia yoyote kupata hela, iwe kwa kufitini, uchawa, kuiba, unafiki n.kYap upo right ✅ ni choice tu #tunagawana majukumu tu hutaki wauza mboga waokote kwa wapanda maua mkuu
Naona ma “uwingi” mengi kama Shafii😁.Mautandawazi ,umagharibi mwingi mkuu,maulaya mengi plus ma u Asia mengi
Swaga mwaka ujao hizo mkuu jua kali 😀Naona ma “uwingi” mengi kama Shafii😁.
Kama aliyeishi mazigira hayo ameweza kufikisha umri wa miaka 90+, hawa wanaoishi kisasa unahisi watafikisha miaka 100+?Skuizi tunatofautisha nyumba na Shamba, Haiwezekani ukae na Ng'ombe nyumbani kwako wakati Tanzania hii bado ardhi ni za kuchukua tu.