mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,093
- 4,912
endelelea tu kupanic mkuu.......nakuuliza tena unataka ushauri gani??
Usioe kwani inaishaga ile?Ntaoaga kweli kwa hali hii jamani?
Unajuaje kwamba watoto ni wakwake?
Mnamtakia kifo, maamzi ya hawa watu ni ya kichawi sana!
Ushauri wa giza huu. Brother kwa kuwa una ushahidi chukua uamuzi. Usije ukafikiri hao watu wataacha huo mchezo. Hata ukisamehe watabadili tu njia ili kukukwepa lakini wataendelea na mahusiano. Anza upya MkuuJaman mke haachwi kwa kosa moja lol....
Mimi nina ndoa ya miaka 11 sawa hivi kama mleta mada na ninamshauri aachane nayeWanaokushauri umuache mke... Wengi wao hawajaoa. Weka akili kichwani.
Yalishanikuta haya mambo juzi juzi tu hapa,kumuuliza bibie akawa mkali kuliko pilipili,Ni miezi kama miwili imepita tangu nimalize chuo na kurudi nyumbani.....lakini hata hivyo nilikuwa narudi kipindi cha likizo kuonana na familia.
Kwanza niseme tu wazi,,,sina desturi ya kukagua simu ya mkewangu lakini baada ya kumtilia mashaka ilibidi nifanye hivyo.
Nikweli nilichokikuta inbox ya Facebook ni hiyo conversation kati ya wife(chati ya bluu)
na jamaa ambae namjua na ni mfanyakazi mwenzangu pia na nlikuwa namheshim sana.
Hiyo conversation inaonesha watu hawa ni wapenzi wala haihitaji nguvu ya ziada kugundua hilo.
Wadau hii kitu nilikuwa nasikia tu kwa watu kumbe ni kweli aisee inauma sana usiombe yakukute....
Imagine mtu tuko nae over ten years sasa pamoja na watoto wawili Leo hii ananifanyia hichi kitu..
Afadhali hata ningekuwa na tabia ya kuchepuka nisingeumia sana.....ningejisemea tu moyoni kwamba malipo ni hapahapa duniani , muosha huoshwa.
Lakini kinachoniuma Mimi nimekuwa mwaminifu tangu nilipomuoa sijawahi msaliti hata Siku moja.
Wakuu embu nisaidieni experience kwa wale mliopata maswahibu kama haya au hata kama hayajakupata nishauri tu kabla sijaharibu Niko na hasira sio ya kawaida ingawa sijionyeshi kwake.....View attachment 897325
Pia huyo staff mate wako ana matatizo,kwa sababu anajua kwamba huyo ni mkeo,ametumia nafasi ya wewe kuwa chuo ili akidhalilishe kwa kumkaza mkeo.Kuna uzi humu unasema usiguse simu ya mwanaume/ mwanamke kuna privacy zake.
Nilikuwa nawaza sana hizo privacy ni zipi, hatimae nimejua kwa nini hawataki washikiwe simu zao.
Nasema hivi, huyo kesha kuwa mke wa stuff mate hata ukikomaa utagongewa hadi mnazeeka nakuomba umwachie jamaa aoe.
Kwa vile ushahidi upo nenda kamkabidhishe kwao uendelee na maisha yako.
Ukiilazimisha hiyo ndoa itakugharimu maisha yako( huyo yuko radhi akuue ili aendelee na huyo jamaa, sio kwa kitendo hicho alichokifanya).
😂😂utakuwa mtu wa pwani wewe( kifiro)!Pia huyo staff mate wako ana matatizo,kwa sababu anajua kwamba huyo ni mkeo,ametumia nafasi ya wewe kuwa chuo ili akidhalilishe kwa kumkaza mkeo.
piga chini huyo mwanamke na huyo staff mate wako kifiro kinamhusu
Ndoa sio kigezo cha busara mkuu!Wanaokushauri umuache mke... Wengi wao hawajaoa. Weka akili kichwani.
Mkuu ni kweli kabisaYalishanikuta haya mambo juzi juzi tu hapa,kumuuliza bibie akawa mkali kuliko pilipili,
Siwezi kukaa nifikirie kumlisha,kumvisha,kusaidia kutatua matatizo ya kwao na ndg zake alafu hapo hapo anitie stress nishindwe kula na kulala sababu ya yeye kuchepuka.
Nilipiga chini na sasa hivi najihisi nimetua mzigo mzito sana.
Mkuu pole sana kwani hilo ni tatizo kubwa.kila muonja asali huchonga mzinga,huyo ukimuuliza kuhusu hiyo issue kwanza atakataa,na hata akikubali na kuomba msamaha,kwa utafiti wangu kutokana na wengi yaliyowakuta,huyo mkeo hatoachana na huyo jamaa,ni strategy ya kuwasiliana na jinsi ya kugegedana ndo itabadilika lakini hawatoachana.atakuwa yuko smart sana kwenye mawasiliano na huyo mshenzi mwenzake.
sijui umempenda kiasi gani lakini jiandae kwa maamuzi magumu
Ni kweli inaumiza sana,mtu mbaya zaidi ni huyo rafiki yako ndio aliyeanza kumtongoza mkeo.