Hii ngumu kumeza

Status
Not open for further replies.
Ukimegewa demu wako nawe tafta mnyonge ummegee. Haipunguzi maumivi ila inarudisha hadhi ya kiume..
 
Kwa nini mkuu
Yani sidhani kama kuna maumivu unaweza linganisha na haya ya mapenzi.

Imagine Mimi napita hapohapo huku najua wazi kabisa kuna njemba inapita hapohapo tena.

Dunia haiko fair aisee.......manake najiuliza Mimi mbona sijawahi umiza mtu kabisa..


Sasa nimefunikwa na spirit of revenge by any means ......haina namna
 
Ni kweli inaumiza sana,mtu mbaya zaidi ni huyo rafiki yako ndio aliyeanza kumtongoza mkeo.
 
Ukinioa lazima nikucheat..mwanaume mmoja anachosha ati
Sheeee!! Nikikupeleka huko Loitoktok kijijini hupati wa kucheat nae.. We kazi yako itakuwa kupika, kufabia boma, kukamua ng'ombe na kulala tu.

Hutakumbuka kucheat
 
Kama huwezi kumsamehe muache, kama unaweza basi mwambie ulichokiona muonye aache hiyo tabia then maisha yaendelee lakini ukiwa close kumfuatilia kama kaacha hizo nyendo zake
 
Mkuu fukuza huyo mwanamke hakufai kabisa, najuwa huwezi nielewa kwa haraka ila baadae utanielewa kwanini nakwambia fukuza endapo utakaid, unaweza kumsamehe makosa yote ila si kwakosa la uzinzi tena ana zini na rafiki yako duuu! Ningekuwa mimi wewe ninge mnyoosha sipendagi ujinga mimi
 
Hili wazo niliwahi kuliwazia siku za nyuma; nikaona yatakuwa mawazo mabaya.
Wengi tulikuwa na fikra hizo ila yalupotukuta ndio tukaona umuhimu Wa wazo hilo na tukaona utekelezaji wake ni muhimu mno.Karibu chamani
 
Baada ya message hiyo ya jamaa kumwambia mkeo kuwa ana hamu ya papuchi yake miezi miwili imepita bila Kuila, mkeo alijibu nini?
 
Reactions: Cyb
Da nyuzi za kuchapiwa hizi mpaka sasa ugonjwa wa moyo unanipata na hapo sijaoa sijui nikioa itakuwaje.
Sina busara nyingi sana mimi ila hapo kwangu ni kufukuza wife ndio tiba ya kudumu.itauma lakini over time italeta manufaa ya mda mrefu.
Wanawake.mtatuua
 
Mimi mwenyewe nafikiria sana ikinitokea itakuwaje, hapa tu kwenye mahusiano ya kawaida nikikuta Demu wangu kasimama na jamaa huwa nam mind sasa ikifikia hatua km hiyo sijui itakuwaje si nitaua Mimi
 
Mimi mwenyewe nafikiria sana ikinitokea itakuwaje, hapa tu kwenye mahusiano ya kawaida nikikuta Demu wangu kasimama na jamaa huwa nam mind sasa ikifikia hatua km hiyo sijui itakuwaje si nitaua Mimi
Yaani usiombe.Mungu aepushe tu hili.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…