Hii ndoa inapumulia mashine, ushauri tafadhali

Hii ndoa inapumulia mashine, ushauri tafadhali

KUKOPA NI PEPO!
NA WALA HAKUNA KITU CHA MAANA KAFANYIA!
HATA UKIMUACHA BILA KUMPATIA MASAADA WA KIROHO HAISAIDII
atakupigia simu akukope hata pete yenu ya ndoa akalipe deni analilokopa last week!
HATA UKIMFUNGA atamkopa mpk sajenti anayefuatilia kesi yake!

NI KAMA KAMARI NA UZINZI WA KUNUNUA MALAYA!
ni pepo hasa!
 
Kesha Jenga Kwao Uyo Na Milad Mingine Kampa Ndgu Yake Aendeleze Kimya Kimya
 
Daah....sijaoa ila mungu niepushie mbali changamoto hii. Aise!
 
Kaoa jambazi msomi...Huyo mshikaji akiendelea na huyo mwanamke hamalizi mwaka anakufa kwa stress, anafia usingizi au anapata ajali kisha anakufilia mbali, mwambie huo ndio ushauri wangu....
 
Nina rafiki/ ndugu ambaye nilisimamia harusi yake(best man) miaka mitano iliyopita, kwa sasa wana watoto wawili. Tatizo lilianza pale mume alipogundua mke ana madeni sana, anadaiwa na watu mbalimbali (wanaume kwa wanawake) jumla shilingi million 14 ambazo alikuwa anaweka dhamana kadi ya gar nk na analipa kwa riba. Iligundulika baada ya wadai kumpeleka polisi.

Katika kufuatilia mke akasema hajui pesa imefanya nini, jamaa akaamua kulipa deni ili kuondoa hiyo Aibu ndipo afuatilie akiwa ktk mchakato wa kulipa amegundua mke alimdanganya na kuna sehemu nyingine anadaiwa million 6 na bado anaendelea kukopa kwa kificho hivyo madeni yanaongezeka, jamaa kachanganyikiwa na mimi nimekosa cha kumshauri kwa kweli, humu kuna watu wanapitia changamoto mbalimbali za ndoa naomba tumshauri tafadharini.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe muulize huyo shemeji yako, bila mumewe akupe extent ya madeni yake, anadaiwa zaidi na ameshindwa kwa aibu kumwambia.
 
kwakweli pole sana !mbona janga hilo jaman 14m? aisee mie nadhan mrudishe kwao ayamalize madeni ndo aje kwako!

inaonekana mume nae mpole sana ! bora ionekane unafanyia nn !aiseee duh
 
Anatakiwa asali amwombee mke wake kuacha sio suruhisho, unaweza mwacha ukapata aliye jaribu kuliko uyo. Akichunguza simu yake bila mke kujua atajua hela anapeleka wapi na anamadeni kiasi gani. Ila wengine wanaongozwa na pepo la kuto lithika ndo maana anatakiwa amwombee sana kama mkewe na sehemu ya maisha yake.
 
Shost mmoja ameolewa lakini tamaa ya kujionyesha inamghrimu sana. Anaweza afungue mlango wa duka ili tu watu wajue na yeye anabiashara mambo safi lakini mtaji wote ni wa kukopa

Kukopa ili kufanya biashara si kosa maana hata wafanya biashara wakubwa wanakopa

Ni kujitambua kwamba hii pesa na ya mkopo hivyo wapaswa kurejesha kwa wakati unaotakiwa

Shida ya watanzania wengi hupenda kufanya matumizi yanayozidi vipato vyao

Tunatakiwa kupata elimu ya mapato na matumizi

Matumizi yakizidi kipato lazima uishie kwenye madeni
 
inawezekana huyo bi dada anamhonga bwana ake nje...si ajabu mchizi alikuwa anataka ki-mark x huko na kimtaji cha biashara ndo huyo shemejio kaenda kukopa ili aendelee faidi dudu ya jamaa
 
Heri wapatanishi. .....
Watu tuna gani! ? Tumeambiwa tuchukuliane. ...
Bi dada ana tatizo ila lina ufumbuzi. ....mumewe amtafutie therapy. ....
Wanaoshauri kuachana wana roho ambayo haitoki kwa Mungu kwani Mungu anachukia kuachana. ...na wqnaoachana hakuna amani kwao, watoto wanakosa maadili kwani malezi ya mmoja hayatoshi. ...madhara ni mengi.
Mi nashauri haina haja kufanya shughuli kwa niaba ya shetani
Comment ya busara zaidi hii ambayo namshangaa mtoa post kaipita kabisa bila hata shukrani!.
ubarikiwe mkuu
Cc. Nwaigwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh!!! Basi yeye ampe ampe ela...huyo ni wa kuolewa na bank
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom