theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,726
kila mtu abebe mzigo wake hapo hakuna kulipa tena tena akinifuata fuata anakula na vitasa juu....😕😕😕
mbona kama namfahamu vile si wa pale kati hiviNina rafiki/ndugu ambaye nilisimamia harusi yake (best man) miaka mitano iliyopita,kwa sasa wana watoto wawili.Tatizo lilianza pale mume alipogundua mke ana madeni sana anadaiwa na watu mbalimbali (wanaume kwa wanawake) jumla shilingi million 14 ambazo alikuwa anaweka dhamana kadi ya gar nk na analipa kwa riba. Iligundulika baada ya wadai kumpeleka polisi.Katika kufuatilia mke akasema hajui pesa imefanya nn,jamaa akaamua kulipa deni ili kuondoa hiyo Aibu ndipo afuatilie akiwa ktk mchakato wa kulipa amegundua mke alimdanganya na kuna sehemu nyingine anadaiwa million 6 na bado anaendelea kukopa kwa kificho hivo madeni yanaongezeka,jamaa kachanganyikiwa na mm nimekosa cha kumshauri kwa kweli,humu kuna watu wanapitia changamoto mbalimbali za ndoa naomba tumshauri tafadharini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu utakubali mkeo apelekwe polisi wakati wewe mume wake upo?kila mtu abebe mzigo wake hapo hakuna kulipa tena tena akinifuata fuata anakula na vitasa juu....😕😕😕
Huenda ikawa pia mana mpaka muda huu haijajulikana hela zote hizo alikuwa anazifanyia nini?Isije kuwa huyo mwanamke anatengeneza vitegea uchumi kimyakimya afu mwisho wa siku anakuja anadai talaka anamwacha mme wake katika hali duni aiseee.....
It depends na situation mkuu.... haiwezekani mtu akope zaidi ya milioni ishirini afu mwisho wa siku nisijue kaifanyia nini? bado haitaniingia akilini labda tyu nijue maybe yuko na asset mahali ndio naweza msaidia tofouti na hapo itabidi apelekwe hakuna namna mimi nitaendelea na ulezi wa watoto bila shidaMkuu utakubali mkeo apelekwe polisi wakati weww mume wake upo?
Ukiona hivyo ujue huyo mwanamke kamzidi kete mumewe ndio maana kila kukicha anaibuka na madeni mapya.... kuna shughuli ya siri huyo mwanamke anaifanya and hataki mume wake ajue.... mkuuHuenda ikawa pia mana mpaka muda huu haijajulikana hela zote hizo alikuwa anazifanyia nini?
Mume hataki kudhalilishwa ndo maana analipa deniNa mkopaji kama huyo dawa yake hilo deni alipe mwenyewe ili akili imkae sawa.
Akope sawa, azalishe na arudishe mkopo itakuwa sawa ila kama ndo zinaishia kwenye vitenge na gold mwisho wake ni mbaya sana.Shost mmoja ameolewa lakini tamaa ya kujionyesha inamghrimu sana. Anaweza afungue mlango wa duka ili tu watu wajue na yeye anabiashara mambo safi lakini mtaji wote ni wa kukopa
teh, teh, teh, teh,,,,
It depends na situation mkuu.... haiwezekani mtu akope zaidi ya milioni ishirini afu mwisho wa siku nisijue kaifanyia nini? bado haitaniingia akilini labda tyu nijue maybe yuko na asset mahali ndio naweza msaidia tofouti na hapo itabidi apelekwe hakuna namna mimi nitaendelea na ulezi wa watoto bila shida
Hongera zake huyo mwanaume.Mume hataki kudhalilishwa ndo maana analipa deni
Mkuu hapo ni kuwa muwazi usaidiwe and vice versa is true.... na inaonekana mwanamke keshajua jamaaa anamkwanja so anafanya kukopa kimakusudi ili jamaa alipe then hapo jamaa inabid abadilike kidogo awe kauzu then kama ni mwanamke anaejielewa itabidi afunguke ukweli tofouti na hapo ashitakiwe tu..... ili next time asirudie alichokifanyaYataka moyo mkuu hiyo ya kusema umuache aende watoto utalea. Hata kama uwezo unao huwezi msaidia kulipa?
Ikifikiaga hatua hii huwa naona ndani ya familia kuna baadhi ya mambo yakiwa na uwazi na kushirikishana kabla ya kuyafanya inakuwa bora zaidi.