Huyu ni mojawapo ya wanaume wazembe na wapumbavu.Pesa akope mke kwa mipango na malengo yake halafu mume alipe eti kwa sababu ya kuepusha aibu,jinga kubwa.
Ushauri:Kwanza mwambie aache ujinga wa kulea wanawake wapumbavu.
Pilo amuache apambane na aliyoyaanzisha na ikiwa bahati nzuri akafungwa jela basi anakuwa kamuacha bila lawama.
Mwambie aende polisi akate mshiko na aongee na wanaomdai mkewe wakaze buti hili afungwe.
Tatu washauri ndugu zake wampeleke kwa kalumanzila hili kupima kama kapewa limbwata na mkewe atapishwe.
Mwisho ikiwa hajapewa limbwata mfundishe kusimama kiume na si kuruhusu akili ya kike kutawala ndoa yake.