Hii ndo tofauti ya Soul Mate Vs Love Mate

Wengi wa wanawake wa kitanzania wanatuchukulia sie wanaume kama mabuzi tu.
 
Mtoa mada umenipa somo zuri ni kweli aise kuna masoul mate na love mate.
soul mate hapa mtu unakuwa attached sana to somebody without any reason and mnaenjoy mkiwa pamoja na hata kama mkakorofishana kidogo ni rahisi kusamehana unaweza msiwe na mawasiliano kwa mida mrefu lakini unahisi kawaida huyo yupo na ataendelea kuwepo katika maisha yako hata kama hamtafutani mara kwa mara. Hila ni kwanini inakuwa vigumu soul mate kuwa nae kwenye mahusiano ya kimapenzi?

Lakini love mate mazee usipomtafuta mara kwa mara unajikuta ushakuwa EX.
 
Ukishajua tofautisha Kati ya LOVE vs OBSESSION habari kwisha.
 
Nimeshawahi kukutana na soulmate unfortunately tuliishia njiani
 
Alinisaidia jambo kwa ufasaha na ukarimu kabisa..sikua namfaham akaondoka. Hakuniomba namba chaajabu nikaanza kumfikiria kila siku. zikapita week kadhaa bila kumuona tena nikaanza kumuomba mungu (nikiwa naswali ) nimuone tena.

Baada ya week ya maombi nikakutana nae akanisalimia na kuniomba namba nilimpa haraka sana (nilikua na boyfriend) . Nakumbuka alinipigia nikiwa nashuka kwenye daladala baada ya kutoka chuo. Moyo ukalipuka nikapokea. Chaajabu tuliongea zaidi ya masaa mawili na tuliongea vitu vingi kwa furaha kama tunajuana muda mrefu hakuna alieboreka maongezi yalituvutia wote. Aliniambia anahitaji watoto watatu akishaoa(hua anasema alijishangaa hata yeye kuongelea habari za watoto siku ile) .

Baadae tukaagana tukiwa bado tunaham ya kuongea akaniambia nikimaliza shughuli zangu kabla ya kulala nmtafute.

Nilimtafuta saa nne sharp maana nilikua nasubiri kwa ham kuongea nae.Tuliongea mpaka nikasikia jogoo akiwika ikabidi tulale japo tulitaka kuongea zaidi. Asubuh nikamkuta kituoni ananisubiri nikamhug ikawa ratiba(kuongea,kunisubiri kituoni na kunisaidia kimasomo). After a week nikabreak na mpenz niliekua nae.

7 years now together with one kid (bado ananidai wawili anasema ) I still feel the same way I felt the first day we talked. He still treat me the same(queen treatment ).I still see the real love in his eyes when he looks at me.

Is he my soulmate? ....Yes he is.. I pray God will continue to keep him safe for us (Me and my daughter).Love you S.
 
Is he my soulmate? ....Yes he is.. I pray God continue to keep him safe for us (Me and my daughter).Love you S.
Hongereni sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom