Am the One
JF-Expert Member
- Nov 1, 2018
- 918
- 930
[emoji848][emoji848]Ulishawahi kukutana na jini mate..??
[emoji848][emoji848]Ulishawahi kukutana na jini mate..??
Hello my soul mate nipo hapa mupenzi...😉Soulmate wangu upo wapi...nikutafuta kila Kona jamani[emoji25][emoji25]
Wewe subiria Money Mate tuSoulmate wangu upo wapi...nikutafuta kila Kona jamani[emoji25][emoji25]
Umpeleke wapChief kuna kipimo kingine sku hizi eti kama unanipendaa nuhamishe napokaa
Hivi unaweza kumpenda mtu bila sababu?Habari wana jf,
Kwa mtizamo wangu hii ndo tofauti ya love mate vs soul mate:
Soul mate- ni mwenza katika mapendo ambae hupatikana kwa kujikuta tu umempenda toka moyoni pasina sababu yoyote, katika upendo ukibahatika kupata mwenza wa aina hii utaenjoy sana mapendo.
Love mate- huyu ni mwenza katika mapendo ambae hupatikana kwa kujikuta umempenda kwa sababu fulani, mfano uzuri wake, umbo lake, sauti yake, kipato chake na nk... upendo wa aina hii ni mzuri lakini una-expire date kwa sababu hauasisiwi na moyo direct.
Je, kwa maelezo haya mwenza wako ni soul mate or love mate?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nife
Ipi inatufaa wadau..?Soulmate = Unconditional Love (Soul ties)
Love mate = Conditional Love (Tako, Hips, Sura nzuri, Hela,Gari, Kimo, Rangi)
Mapenzi ya biashara ndio love mates hao at large!
Kaka tuweke utani pembeni,hivi kaka hii ofisi ya serekali inayoitwa mfilisi wa serekali huwa inajihusisha na vitu gani?Sio ankoooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
short & clear, thanks.Soulmate = Unconditional Love (Soul ties)
Love mate = Conditional Love (Tako, Hips, Sura nzuri, Hela,Gari, Kimo, Rangi)
Mapenzi ya biashara ndio love mates hao at large!
inawezekanaHivi unaweza kumpenda mtu bila sababu?
Hii imekaaje boss, maana Kila nikifikiria sipati jibu.inawezekana
Can you be my danga mate...?Je Danga Mate wenyewe unawaweka wapi?
Je wewe ni pisi kali...😀😀😀Can you be my danga mate...?
Je Wewe una danga aka sponsor characteristics?Je wewe ni pisi kali...[emoji3][emoji3][emoji3]
Embu zitaje kwanza hizo characteristics niji asses....Je Wewe una danga aka sponsor characteristics?