Hii ndo tatu bora ya wagombea wa CCM

Hii ndo tatu bora ya wagombea wa CCM

Status
Not open for further replies.
Kwa hiyo UKAWA washampitisha Slaa au ndio uroho wa Madaraka wa CHADEMA!

UKAWA hawajateua jina la mgombea wake, ninavyofahamu mimi Prof Lipumba keshatangaza nia ndani ya chama chake lakini hilo halimpi nafasi ya moja kwa moja kugombea kwa tiketi ya UKAWA. Chadema bado hawajateua jina la kulipeleka UKAWA ili pamoja na majina mengine kutoka vyama vingine vinavyounda UKAWA moja wapa likapate ridhaa ya UKAWA. Ni lini hiyo hatujajua. Ukweli ndo huo.
 
Jamaa hakutokea kasulu katokea soko la sabasaba kununua Mboga kaona kila mtu anaenda kuchukua 4m naye kajisogeza big up Sana mshikaji. Japokuwa jamaa katupatia picha fulan
 
Acha kuweweseka ww...Lowassa ndio mpango wa CCM...labda uko mbali sana na CCM insiders...as well labda hufautilii wanapokwenda kutafuta udhamini uone NGUVU ZAO KUKUBALIKA NA WANANCHI, Lowassa hata uunganishe wagombea wengine wooooote CCM hawafikii nusu ya Nguvu na influence za Lowassa kwa wananchi...!!
 
Dah, yaani Afrika mtu mwizi ndo anaonekana mjanja na mwenye kupendwa na watu. Hivi sisi waafrika tuna matatizo gani? Kwa wenzetu Ulaya na Marekani huyu hakutakiwa hata kuwa mwenyekiti wa nyumba kumi kwa sasa. Eeeeh MUNGU tuepushe na huyu fisadi Lowasa
 
Edward Lowasa
Bernard Membe
Makongoro Nyerere
John pombe Magufuli
 
Kutafuta mgombea bora ndani ya ccm ni sawa kutafuta mwanamke bikra kwenye wodi ya wazazi .
Kumbe Lowasa anahangaika bure hata kwenye tano bora hafiki itakuwa ni aibu.
 
Tatu bora yangu ni

1. Mahiga huyu anakuja kwa kasi japo hafahamiki
2. Makongoro
3. Nchemba
 
1. Prof. Mark Mwandosya
2. Balozi Mahiga
3. Dr. John Magufuli
 
Kutafuta mgombea bora ndani ya ccm ni sawa kutafuta mwanamke bikra kwenye wodi ya wazazi .
Kumbe Lowasa anahangaika bure hata kwenye tano bora hafiki itakuwa ni aibu.

Itakuwa aibu kwako miaka yote ukiyonayo umekuwa masikini na unadhani umasikini wako kausababisha lowassa
 
Dr.Mohamed Ghalib Bilali huyo ndiyo mgombea mtarajiwa. Hao wengine wote ni formality kwamba lazima kuwe na wagombea tofauti.Dr Bilal atachukua form na ataibuka kidedea.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom