MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,510
NDORRRRRRRRRROBO WEEE!! hebu rudi tena msalani ukasafishe maka......oKwa hiyo UKAWA washampitisha Slaa au ndio uroho wa Madaraka wa CHADEMA!
NDORRRRRRRRRROBO WEEE!! hebu rudi tena msalani ukasafishe maka......oKwa hiyo UKAWA washampitisha Slaa au ndio uroho wa Madaraka wa CHADEMA!
Huyu atashindwa kupitishwa kwa kigezo cha elimu tuu, lakini sidhani kama anayo kashfa yeyote ya kimaadili kama hao uliowataja.
View attachment 259125
Sijamuona hapo bado....
Mr statistics, Prof. Muhongo is the best.
Kwa hiyo UKAWA washampitisha Slaa au ndio uroho wa Madaraka wa CHADEMA!
Huyu atashindwa kupitishwa kwa kigezo cha elimu tuu, lakini sidhani kama anayo kashfa yeyote ya kimaadili kama hao uliowataja.
View attachment 259125
Watanzania tukoje, mtu akitoa hata statistics za uwongo tunamuona ndio anafaa. Muhongo hafaiSijamuona hapo bado....
Mr statistics, Prof. Muhongo is the best.
Jina la Lowasa lisipoletwa mkutano mkuu wajumbe hawatopiga kura!!Lowassa hazuiliki, ni sawa na kuzuia mafuriko kwa kiganja cha mkono.
Hiyo Milioni moja yake si bora angenunua magazeti ajipepeee...............
Lowassa hazuiliki, ni sawa na kuzuia mafuriko kwa kiganja cha mkono.
Unataka niprove kwako na kwa wana jukwaa kuwa wewe ni mtupu kichwani???Watanzania tukoje, mtu akitoa hata statistics za uwongo tunamuona ndio anafaa. Muhongo hafai
Wacha kuota mchana we kibwengo, huyu mzalendo ndio chaguo la uhakika la maCCM!Lowassa hazuiliki, ni sawa na kuzuia mafuriko kwa kiganja cha mkono.
Maoni yangu ni kwamba peformance ya kiwango cha chini iliyooneshwa na rais aliyepo sasa imesababisha hali hii.
Huyu atashindwa kupitishwa kwa kigezo cha elimu tuu, lakini sidhani kama anayo kashfa yeyote ya kimaadili kama hao uliowataja.
View attachment 259125