Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,297
- 18,046
Huyo ni waziri Mkuu wa Wazalendo chini ya uongozi wa Ndugu Charles Makongoro Nyerere.!!!
Rais na PM wote watoke kanda ya ziwa? No way
Huyo ni waziri Mkuu wa Wazalendo chini ya uongozi wa Ndugu Charles Makongoro Nyerere.!!!
Ha ha ha! Mkuu lakini hebu fanya reference ya hiyo signature yako. "Everyone want to go to heaven, but no one want to die.Hiyo Milioni moja yake si bora angenunua magazeti ajipepeee...............
Huyu ni mkulima mmoja mwenye elimu ya STD 7 ambaye kaomba fomu huku akisema kama JK kaweza hata yeye anaweza na pia hana kashfa yeyote ya rushwa wala ufisadiNi nani huyo Mkuu ....................!!?
Lowassa hazuiliki, ni sawa na kuzuia mafuriko kwa kiganja cha mkono.
Huyu ni mkulima mmoja mwenye elimu ya STD 7 ambaye kaomba fomu huku akisema kama JK kaweza hata yeye anaweza na pia hana kashfa yeyote ya rushwa wala ufisadi
Huyu ni mkulima mmoja mwenye elimu ya STD 7 ambaye kaomba fomu huku akisema kama JK kaweza hata yeye anaweza na pia hana kashfa yeyote ya rushwa wala ufisadi
Statement yako inajipinga.........
NDORRRRRRRRRROBO WEEE!! hebu rudi tena msalani ukasafishe maka......o
Hajapitishwa Slaa, ila nadhani kwa UKAWA, yeye ndo anapewa nafasi kubwa zaidi akifuatiwa na Lipumba. Kwa kweli huyu jamaa (Dr. Slaa) ndo anayewanyima usingizi watu wa ccm
Mtabaki kuota uongozi wa nchi milele. Mtazidiwa hata na ACT Wazalendo.Tulia we gamba, dawa inachemka jikoni...
Lowassa hazuiliki, ni sawa na kuzuia mafuriko kwa kiganja cha mkono.
CMD ndio nini? AU unamaanisha CHADEMA?we kichaa kweli, hyo post imeandkwa na cdm.
Inajipinga kivipi wakati Slaa mnamuita Rais mtarajiwa wakati bado UKAWA hajapitisha mgombea wa Urais? Hamuoni kwamba kumuita hivyo inaleta sintofahamu kwenye UKAWA kwa vyama kama CUF na NCCR.