Hii ndo tatu bora ya wagombea wa CCM

Hii ndo tatu bora ya wagombea wa CCM

Status
Not open for further replies.
Kati ya vitu vilivyonisikitisha katika mchakato wa uchukuaji fomu za kuelekea Magogoni mwaka huu wa 2015, ni kitendo cha Ofisi ya CCM Makao Makuu kuchukua fedha za mwananchi wa Kigoma (Tshs. 1,000,000.00) wakati tayari walishaweka vigezo 13 na kimojawapo kikisema mgombea lazima awe na elimu kiwango cha chini iwe ni Chuo Kikuu au elimu inayoendana na kiwango hicho.
Ushauri wangu Chama kimrejeshee fedha yake kwa nia njema tu, kwani inaonekana walipiwa pande zote mbili(Waandaa vigezo na mchukua fomu), labda kama vigezo vile vilitajwa kumaanisha kitu kingine. Nachelea kusema huu sasa ni utapeli

Huyu kapewa pesa tu kutengeneza movie kuwa chama chao kina demokrasia kwamba hakijali elimu wakati tayari wameweka kigezo cha degree, huu ni usanii sana.Ni sawa na mwanaume kwenda kitchen party na kukubaliwa kuingia kama mwarikwa na baadaye kutolewa nje kabla sherehe haijaanza.
 
hiyo tatu bora ya mwisho yenyewe hii
lowassa
pinda
makamba

kama unakidau weka
 
Wekeni tatu bora hata mia kama itamkosa Mwandosya ni fake trust me. Kumbukeni tatu bora ya mwaka 2005
 
Nikweli aludishiwe huu ni utapeli, angukuwa ni mwingine mwenye kukubalikwa kwa watu alafu vigezo ajatimiza wasinge mkubalia:glasses-nerdy:
 
KWANI ccm wamesha mpitisha Mwigulu au Magufuli, huko mbona husemi umeona kwa Dr. Slaa
Sasa mna maana gani kusema Dr. Slaa rais mtarajiwa wakati UKIWA bado hata hamjaanza mchakato wa kupata mgombea wa Urais? Hayo mamlaka mmepata wapi?
 
katiba ya tanzania inaruhusu kila mtu kutoa maoni so uko sawa kabisa kiongozi,ila rais ndo hivyo tena ni lowasa

Pole sana kaka. Urais Lowassa atausikia kwenye vyombo vya habari tu.
 
hivi kuna watu bado mnapoteza muda kuwaza nani atapitishwa na ccm kugombea urais mbona anajulikana siku nyingi mwenye pesa nyingi ndiyo rais, huwezi kugombea ndani ya ccm ukiwa huna kitu huu ndiyo ukweli kama hamuamini subirini tar 12/7/2015 mgombea ni Lowassa na kama si yeye basi muda wa ccm kuondoka ikulu umewadia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom