Hii ndo Shy!

Hii ndo Shy!

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
(1)shinyanga;Hii imemkuta baba yangu mkubwa enzi za ujana wake,mara ya kwanza alikuwa anachunga mbuzi huko kishapu shinyanga.Mara baada ya kuona mbuzi wameshiba,aliamua kupiga usingizi ili kuvuta muda.Alipoamka,hakumwona hata mbuzi mmoja,baada ya kuhangaika muda mrefu aliona alama za kwato za mbuzi zikielekea mtoni.Alizifuatilia hadi mtoni lakini cha ajabu hakuwakuta mbuzi halafu zile kwato hazikuonyesha kwamba wale mbuzi waligeuka kurudi walikotoka,swali;je wamezama mtoni?mpaka leo hii wale mbuzi hawakupatikana! (2)Siku nyingine alikuwa anachunga kondoo.Kama kawaida yake,waliposhiba na yeye akalala chini ya mti.Alipoamka,hakumwona hata kondoo mmoja.Alipojaribu kuwatafuta aliziona alama za kwato na vinyesi vibichi.Alifuatilia zile alama za kwato lakini cha ajabu ziliishia chini ya mti mkubwa.Baba mkubwa aliinua macho juu akidhani kondoo wako juu ya mti lakini waaapi,mpaka leo wale kondoo hawajaonekana!
 
Huyo kawauza akenda kupigia mapuya akaja kuwapa hadithi njoo utam kolea.
 
Hahahaha...hii hadithi inatufundisha nini?
 
Huyo kawauza akenda kupigia mapuya akaja kuwapa hadithi njoo utam kolea.
<br />
<br />
Hapana double F,baba yangu mkubwa ni mtu loyal sana,hawezi fanya hivyo.
 
Cjaona cha kucheka wala cha kujifunza
 
Kwa mawazo yake, mkoa wetu wa shy, kuna uchawi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom