Hii ndo sababu ya wanawake kufanywa take away

Hii ndo sababu ya wanawake kufanywa take away

Sasa hii ndo sababu iliyosababisha wema sepetunga kuachwa na clement wa magogoni?
 
Wanaume wa siku hizi waoga, mnaogopa sana majukumu.

Tatizo lenu mnashindwa kutofautisha majukumu na starehe. Majukumu hayakwepeki ila starehe zinakwepeka. Mi siwezi kukazana kukuhonga wewe eti ufanye shopping ya 400000 wakati wazazi wangu wanaishi nyumba ya nyasi. Utakuwa ni upuuzi uliopitiliza!
 
Ni wanaume wa huku jf tu ndio wanajidai bahili kuhonga huku mtaani kama kawa tu .
 
Kuna siku nilikuwa nasikiliza radio moja, nikasikia tangazo la mganga anatoa dawa za kuvutia wanaume wenye hela. Nikaishia kucheka mwenyewe
 
tatizo lenu mnashindwa kutofautisha majukumu na starehe. Majukumu hayakwepeki ila starehe zinakwepeka. Mi siwezi kukazana kukuhonga wewe eti ufanye shopping ya 400000 wakati wazazi wangu wanaishi nyumba ya nyasi. Utakuwa ni upuuzi uliopitiliza!

ndio maana naona bora kuoa kuliko kuwa na mpenzi
 
kuna siku nilikuwa nasikiliza radio moja, nikasikia tangazo la mganga anatoa dawa za kuvutia wanaume wenye hela. Nikaishia kucheka mwenyewe

hao matapeli na wateja wao wakuu ni wanawake
 
Hela zenyewe huna alafu unataka mademu wa kishua utapata wapiii subutuuuu ishia huko huko kwenye madanguro ya 500.
mpaka umekula hela zangu ujue umefanya kazi kweli kweli
 
Jana tu nimehonga pesa kibao na mwishowe sijampata wala nini..
 
Back
Top Bottom