jukumu lao ni kuhudumia mwanamke apendeze hasa mkewe au mpenzi. masaidiano yapo lkn sifa ya mwanume ni kutunza kilicho chake jamani. halafu kuhusu usawa, sio wote waumini wa hiyo kitu. wengine tumelelewa kidini zaidi ingawa tunasoma gender balance lkn hatupractise kivile.
Jana tu nimehonga pesa kibao na mwishowe sijampata wala nini..
Hahahahahahahahahaha umenifurahisha sana mkuu yaani hata usipoombwa hela wewe toa hela tu ama kweli pesa nae kawa mungu.Na ukitaka umpate mwanamke kirahisi we mpe hela, akikuomba mpe tu hela , asipokuomba mlazimishe achukue tu hela yako.
mkuu kuna mwanamke atakayekupa hivi hivi tu bila kugusa wallet yako kweli?
Ni kweli mkuu ila sasa ndo hatuwezi kusema kuwa anakupenda. hata kidogo. inapendwa wallet hapo, stuka
sababu hiyo hapo
yaani kweli nyie viumbe wavumilivu mnastahili kulipwa hivi lidushelele kama hilo siyo mchezo
Ni wanaume wa huku jf tu ndio wanajidai bahili kuhonga huku mtaani kama kawa tu .
wanaume wa ajabu eti unampiga mzinga wa laki kwa kumwambia nikopeshe.....heeee....mwisho wa mwezi bila aibu utamsikia....nakukumbusha ule mzigo.....-&*&##@%*
Ivi wanaweza vipi kuombaomba, mm nikotofauti sijui ushamba wangu, suala la kuomba kwangu ni mtihani mkubwa sana, yani nikitaka kuomba najipanga wiki nzima, na nnaweza kumface mtu kwa lengo la kuomba nikashindwa kabisa nikarud na shida yangu. Nadhani ni kwavile I have one and only so nampenda, namthamini na kumheshim
mkuu kama usawa ndo huu hapo sawa
Na wale wengine wanaosema wanaume na wanawake wanatakiwa kuwa na usawa, ambao hawapigi mizinga, au mnapigana wote mizinga kwa zamu sawa, hawa sina tatizo nao.
ila kwa hawa haiwezekaniki
Hawa ogopa sana hawa, wanaitwa ndumilakuwili.
wanaume wa ajabu eti unampiga mzinga wa laki kwa kumwambia nikopeshe.....heeee....mwisho wa mwezi bila aibu utamsikia....nakukumbusha ule mzigo.....-&*&##@%*
sababu hiyo hapo
sasa hapo ndo utajua mwenye kibamia.tango.ndizi na mguu wa mtoto yupi bora