Hii ndo sababu ya wanawake kufanywa take away

Hii ndo sababu ya wanawake kufanywa take away

Na ukitaka umpate mwanamke kirahisi we mpe hela, akikuomba mpe tu hela , asipokuomba mlazimishe achukue tu hela yako.

nyie jidanganyeni tu na mihela yenu! Kuna mtu kalizwa juzi na likolola lake loh! (sijasema mimi ujue!!)
 
Na ukitaka umpate mwanamke kirahisi we mpe hela, akikuomba mpe tu hela , asipokuomba mlazimishe achukue tu hela yako.

ha ha ha mwishowe mifuko inabaki mikavu na unaanza 1 kuzitafta tena
 
kumbe mnajua vizuri yule wa lara 1 inabidi akuunganishie ukapate ulemavu

Wacha we, am a straight man.
Nilikuwa mesmerized by his confidence juu ya kuchunwa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom