Hii ndo sababu ya wanawake kufanywa take away

Ni halali kumhonga bibi yako kwa uwezo ulionao,ila kama hatoshek na mpunga unaompa basi ujue kunatatizo,since love does exist but must be accompanied by monies,,,,,,,,
 
kweli mkuu!

hata kwenye biashara tuna buyer and seller..

consumer and producer..

there must be two way channel ili mambo yaende vizuri!

Afadhali mmejijua kuwa nyie ndo wateja wakuu wa hizi "Take away"Na pia inaonekana nyie ndo mnazidemand sana ndo maana kila mara zinapatikana.

Laiti kama usingekuwepo kuhitaji hiyo bidhaa basi soko lake lingedorora,

As long as the buyers are active and have got high demand the supply will still be high.

Therefore before pointing fingers to those whom you've decided to call "Take Away" think twice.
 
Kwa hiyo mmekubali nyinyi ni 'take away"? Ungesoma vizuri maudhui ya uzi huu na wachangiaji wake usingekubali kuwa "take away" na vile vile kusingekuwepo na "customers" wa hizo "take away" bali kungekuwepo na mahusiano ya kudumu.

Badilini tabia, mizinga ipo lakini kwa mumeo au mpenzi wako wa "at least" muda mrefu kidogo kama si wa kudumu sio jamaa wa usiku mmoja tu unatangaza shida zako mia kidogo
 
Ndo maana nikasema unaposema kuwa wanawake ni Take Away, kwani wanakuwa hivyo bila demand from the opposite sex??

Na nyie wanaume muache kuwafata na kuwatongoza kama hamtaki kupigwa hiyo mizinga

Acha kubisha is a two way thing.
 
Tian unaposema wanaume wasiwafuate wanawake hapo unampinga hata mwenyezi Mungu. Wanaume wanaishi kwa sababu ya wanawake na wanawake wanaishi kwa sababu ya mwanaume. Mahitaji ya kiasili ya mwili yapo pale pale, ni tofauti na mahitaji ya ziada ya Vitz, samsung galax, mara shopping zenu za kila siku mnazowapiga mizinga wanaume kisa tu amekuomba huo mfereji maringo (mbunye) tena kwa usiku mmoja tu.

Ndiyo maana ikasemwa hapa hiyo ni sababu za ninyi kufanywa "take away".
 
Mwenyezi Mungu ndo kasema uwe na multiple sexual partners??
 
Nmemzimikia Miss wa Kinyalu jamanii ila kny kupigana mizinga 'NO' baba hapendi

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
Usiogope, Unafikiri hata napiga mizinga basi nawatetea tu wale wapiga mizinga maana huwa mnawashambulia sana huku na nyie mnawaomba papuchi kila kukicha mmejuana leo kesho unaomba papuchi inahusuuu!
 
Afadhali mmejijua kuwa nyie ndo wateja wakuu wa hizi "Take away"Na pia inaonekana nyie ndo mnazidemand sana ndo maana kila mara zinapatikana.

Laiti kama usingekuwepo kuhitaji hiyo bidhaa basi soko lake lingedorora,

As long as the buyers are active and have got high demand the supply will still be high.

Therefore before pointing fingers to those whom you've decided to call "Take Away" think twice.

kwa hio kibao nimegeuziwa mie?

ok, once it is there, there must be users whether its a black market or not.

both sex are involved in here! who to blame the other?
 
Nimeshajiambia kwamba majukumu ni pale nitakapooa tu...haya mengine ni ajisaidie mwenyewe..hata aseme ATM card imemezwa......jibu langu ni sineerr..helaaarr bAbY..!!....
 
How about this??
 
Attachments

  • 1391876827155.jpg
    1391876827155.jpg
    15.3 KB · Views: 82
nimeshajiambia kwamba majukumu ni pale nitakapooa tu...haya mengine ni ajisaidie mwenyewe..hata aseme atm card imemezwa......jibu langu ni sineerr..helaaarr baby..!!....

duuuuh! Hilo jibu lako ni nouma
 
Back
Top Bottom