Hii ndo raha ya Bukoba Kagera - Tanzania

Hii ndo raha ya Bukoba Kagera - Tanzania

Ta muga wee eti haya unayajua vizuri enganda(koo) za wahaya na emiziro.
Abahinda
Abatundu
Abaiyuzi
Abasingo
Abalwani
Abaiyuzi
Abankango
Abajubu mkuu mwendelezo ni muhim

abazigaba,abayango,abasimba,abalwani e.t.c
 
Werra, Werra, Werra
Bojo munjune nabuza akatabo kange aka Nke....nyya.
Kaba nkagamba... iwe nka notera mukazi aine ndaa,

Mbamweta ... Ikengya... " Iwe nka nolabya omufu omubulime" ahorola ati.... "Kalayona ndalipa"
 
Mathias,

Hapana. Siyo mambo ya takwimu (namba) tu bali ni uhalisia kwamba umaskini umeongezeka Kagera.
  • Kwanza, bei za mazao makuu yaliyokuwa yanateegemewa kuendesha maisha na uchumi wa wakazi wengi yameshambuliwa na magonjwa. Pia bei yake katika kinachoitwa soko la dunia imekuwa ikiashuka mwaka hadi mwaka. Hapa nazungumzia Kahawa na ndizi.
  • Shughuli nyingine za uchumi kama vile uvuvi na kilimo cha miwa vimetolewa katika mkondo uliokuwa unawapa wakazi wengi ajira na ujira. Shughuli hizi sasa zinashikiliwa na kuendeshwa na waliowekeza mitaji mikubwa kifedha na kiteknolojia. Nyongeza ya hapo na mbaya zaidi, hata hivyo viwanda vya samaki havijaweza kuvuna kama vilivyotarajia na vingi sasa havifanyi kazi tena. Samaki wamepungua ziwani na biashara yenyewe imekuwa na technical barriers nyingi hasa baada ya tukio la minofu toka East Africa kupigwa ban na nchi za EU mwaka 2008
  • Bukoba kama Makao Makuu ya Mkoa ulikuwa pia mji mkuu wa kibiashara. Ila sasa hali inavyokwenda, kama ni mke basi anakaribia kuachika. Kuzama kwa MV Bukoba, kuendelea kuchakaa kwa MV Victoria na Serengeti na na kukosekana kwa suluhisho la haraka la usafiri rahisi wa majini vimetoa mwanya kwa vyombo vya nchi kavu kuonekana ndo mkombozi. Athari ya hili inaonekana wazi katika kupooza kwa mji na kupungua kwa mzunguko wa fedha katika siku zilizokuwa za meli (J3, J5 na Ijumaa). Wafanyabiashara waliofika Bukoba kununua bidhaa kuacha hela Mkoani toka mawilayani sasa hawaji tena (hawa ndo walikuwa waume sasa wanamwacha mke). Wanapeleka hela Mwanza moja kwa moja. Hapa nimejaribu kuangaza eneo dogo tu la vilivyokuwa vyanzo vya mapato na uchumi.
Tukubali tumefikwa na tatizo ili tutafute jinsi ya kulikabili. Ni jukumu letu sote

Hoja zako ni sawa,lakini kumbuka hapa tun aongelea issue ya uchumi kwa mkoa na wananchi wake
kwa mfano watu wa takwimu wanafanya hizi-wanachukua kipato cha taifa wa ujumla mfano sh 10,000 kwa mwaka kisha wanagawa kwa idadi ya watu katika mkoa nk(mfano huu) hivyo mkoa utakaokuwa na watu wengi basi utaonekana maskini.

Hivyo mkuu ninachosema ukitazama maisha halisi ya wakazi mfano wa DAR(upatikanaji wa fedha na matumizi yake,fursa,upatikanji wa huduma za maji,umeme nk utakubalina na mimi kuwa ni bora mtu kuishi Kagera kuliko dar kwa upatikanji wa vitu hivyo.

Sisi watanzania/binadamu tunapenda kushi kwa kutazama kile kinachoitwa 'reception life' ambapo ukionekana unaishi dar,arusha kama wewe au Mwanza basi utaonekana uko juu kumbe kimaisha unasota sana.Mfano mdogo ni Bukoba ni mji pekee nchini tanzania ambapo mgao wa umeme unasikika kwenye media,vyakula nk

utasema hakuna fedha kama Dar lakini swali matumizi ya fedha dar yakoje ukilinganisha na BK

ASANTE
 
Kama nimekuelewa vema, basi kuna mahali tutakuwa tumechanganya mambo/hoja kati ya Uchumi, Umaskini wa Kipato na Ughali wa Maisha japo viwili vya mwisho vinajumuhika kwenye kapu la Uchumi.

Asante kwa mchango wako.
 
Mzee Byabato na Kimasha mmenifurahisha sana. Hoja kwa hoja na za kitaalamu. Mie nadhani kwa michango yenu humo Mwezi desemba wengi watarudi nyumbani!!!! Asanteni sana.
 
Mzee Byabato na Kimasha mmenifurahisha sana. Hoja kwa hoja na za kitaalamu. Mie nadhani kwa michango yenu humo Mwezi desemba wengi watarudi nyumbani!!!! Asanteni sana.

Ndio raha ya mdaharo, hata mimi wamenifurahisha sana, tukirudi kwenye suala la umeme kweli kagera neema hiyo tunayo kubali au kataa, lakini bado kwa suala la uchumi hatujafikia penyewe hasa tunapopaitaji, kaka hapo juu ametolea mfano wa usafirishaji ni kigezo kikuba sana kwa mkoa wetu wa kagera kwa sababu usafiri wa majini ulikuwa unatupa sapoti kubwa mno, lakini sasa tunapata huo usafiri kwa siku 3 tu ndani ya wiki moja kweli mzunguko wa pesa ipasavyo utapatikana?????
 
Tausi usisahau amezungumzia pia magonjwa yanayoshambulia mazao kahawa na migomba mazao makuu ya biashara, sijui hii serikali yetu infikiriaje wakazi wa Kagera?????? Tena Kagera ni support kubwa ya CMM kwenye kila uchaguzi!!!!!! Mhs JK alisema atatuwekea meli kurahisisha usafiri katika mkoa huu sijui ni lini. Tafadhari sijatoka kwenye mada ila natafuta solutions za uchumi wa Kagera!!!!!!!!
 
Kagera vile vile kuna a lot of tourist attractions, visiwa kama Bumbire, Bukerebe, pale Lubafu mto Kgera unapo ingilia ziwa Victoria. Mito milefu kama Kagera, Beautiful beaches kama Kemondo, Kanyangeleko, Kashenye with a lot more. Kuna old buildings kama makanisa na maboma, Mughana, Kagondo, Kashozi, Ndolage, Rubya kuna vitu vingi vinavyo hitaji kukaa chini na kupangilia kama Ta Muganyizi alivyo tuchangamsha hapa!!!!!!!
 
ndugu mto mada na picha nzuri kama hizi ahsante sana.... lazima niende Bukoba nikijaaliwa na MOLA..
Shukran...
 
Kagera vile vile kuna a lot of tourist attractions, visiwa kama Bumbire, Bukerebe, pale Lubafu mto Kgera unapo ingilia ziwa Victoria. Mito milefu kama Kagera, Beautiful beaches kama Kemondo, Kanyangeleko, Kashenye with a lot more. Kuna old buildings kama makanisa na maboma, Mughana, Kagondo, Kashozi, Ndolage, Rubya kuna vitu vingi vinavyo hitaji kukaa chini na kupangilia kama Ta Muganyizi alivyo tuchangamsha hapa!!!!!!!
Hapa ndipo inapotubidi tukune vichwa zaidi, sababu maendeleo ya mkoa wetu yanazidi kuporomoka siku mpaka siku,
Kweli tukiambiwa tujadili matatizo ni mengi sana, lakini je???????????? Peke yetu tutaweza bila kupata msaada kutoka kwa viongozi wetu, nakiri kidogo tunajojaaliwa tunakipata tunashukuru MUNGU kwa hiilo, mfano Tumepata University ninaimani itatuletea matunda, ila tujiulize hao wasomi watakapo pata Degree zao na maujuzi yao wataendelea kubaki humu mkoani ili kuleta maendeleo ya mkoa wetu au ndio tutabaki kuwasikia majina
kuwa ni RWEIKIZA RWELAMILA MUTABANI WA TA MUCHUNGUZI BIIJAGE lakini maendeleo anayapeleka kwenye mikoa ya wengine au nchi za wengine????/ Kiujumla kama ulivyosema nacopy

kuna a lot of tourist attractions, visiwa kama Bumbire, Bukerebe, pale Lubafu mto Kgera unapo ingilia ziwa Victoria. Mito milefu kama Kagera, Beautiful beaches kama Kemondo, Kanyangeleko, Kashenye with a lot more. Kuna old buildings kama makanisa na maboma, Mughana, Kagondo, Kashozi, Ndolage, Rubya kuna vitu vingi vinavyo hitaji kukaa chini na kupangilia kama Ta Muganyizi alivyo tuchangamsha hapa!!!!!!!
Je???? Jitihada gani zifanyike na sisi ambao hatuna uwezo wowote tumeona haya matatizo na hao tunaowategemea ambao wana uwezo matatizo haya wanaona kama hayawahusu.
 
mkuu asante kwa maujanja na kumbukumbu nyingi japo zina amsha njaa na watu bado hatujamake,thanks alakini
 
Back
Top Bottom