MTK
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 8,920
- 6,858
Michawi tupu na mazindikoNa wewe katambike kwenu, mtu kwao.
Michawi tupu na mazindikoNa wewe katambike kwenu, mtu kwao.
Ni kweli,mimi kwetu naenda bila kuanza kupanga bajeti wala malengo,ili mradi pametokea dharula,kama vile msiba,mgonjwa,harusi, Mama au Baba ananiita na lolote linalotakiwa mimi niwepo nafika iwapo tu ninao muda huo.Tatzo mnaenda kwenu bila bajet wala malengo!
Mimi mvivu wa kazi !!!!! kwahiyo ile Lexus Harrier nimeiokota si ndio,au imeshushwa kutoka sayari ya Mars ....??Tanga nauli ni mia moja - alafu wew utakuwa mvivu wa kazi.![]()
![]()
![]()
Bila shaka ni mshirika mwenzangu,bila hivo usingeyajua haya ......??Kila unapojisikia....au kila hirizi inapopungua nguvu!!?
Sijakusoma ??Ndio Kabila Lako Kwa Mfano... Unaleta Sifa Tu
Ubarikiwe mkuuKitu ambacho nadhani watu wanashindwa kuelewa ni kuwa wachagga ni moja ya makabila makubwa Tanzania ukubwa kwa maana ya watu wengi na waliotapakaa zaidi sehemu kubwa ya nchi,
Hivyo basi unakuta kaka anaishi na kufanya shughuli zake kwa mfano dar es salaam, dada Kigoma mdogo mtu mtwara likizo za mwisho wa mwaka ndo kipindi cha kukutana kama familia watoto kufahamiana na vitu kama hovyo,
Tofauti na makabila mengine kwa mfano wasukuma ambao pia ni wengi sana ila asilimia kubwa wanaishi kwenye maeneo yao kama Mwanza, Shinyanga, Geita hawajatapakaa sana sehemu nyingi so movements za kutembeleana kama familia sio za umbali mrefu kama kutoka Mtwara au Dar es salaaam to Kilimanjaro,
Mfano mwingine mfano wewe umezaliwa Dar es salaam baba na mama wapo buguruni, wewe unaishi tegeta kaka zako wako kigamboni wajomba wapo temeke mkiamua kuonana kila jumapili its very possible, na wanaosafiri mwisho wa mwaka kwenda kijijini utawalaumu na kuwaona washamba which is not the case,
Mwisho asilimia kubwa ya makabila ambayo ni wafanyabiashara ni idadi kubwa wana tabia ya kusafiri na kurudi makwao kipindi cha sikukuu za mwisho wa mwaka mfano Igbos wa Nigeria wana tabia hizo hizo kama za wachaga, nothing BIG just family gathering kama ilivyo kwenye misiba ya kichaga utaona watu wnaasafiri kutoma mbali kuja kuzika sema vile misiba haitokei kwa pamoja huwezi notice hicho au harusi mfano zinazofanyika Dar es salaam almost ukoo mzima unasafir kuja kwenye harusi
Ubarikiwe mkuu
Hujaona ile picha ya ubungo stand?yaani ndio Arusha ilivyo hii? kijijini kabisa hapa.
Mkuu kumbuka malengo yanatofautiana.ni limbukeni sana,hawaendi kwao hadi mwisho wa mwaka. Wakati mimi kwetu Tanga naenda kila ninapojisikia.
Huna kazi zaidi ya kuwapeleka watoto wa dada shule,sasa kwann usiende kila siku wakat unakula ganji kwa shemejini limbukeni sana,hawaendi kwao hadi mwisho wa mwaka. Wakati mimi kwetu Tanga naenda kila ninapojisikia.
Kumbe,mi nilidhani wanaenda kuona ndugu.Mkuu kumbuka malengo yanatofautiana.
Ha ha haaaaaaaa,Sasa nashangaa watu wanalalamika unakuta ukoo mzima upo Dar es salaam, au Tabora sasa unataka kusafiri uende wap!? Waache hizo mambo ya kufikirika na kuongea vitu ambavyo havipo in any way
Bila shaka haya ndio maisha yako,na unadhani kila mtu anaishi kama wewe.Huna kazi zaidi ya kuwapeleka watoto wa dada shule,sasa kwann usiende kila siku wakat unakula ganji kwa shemeji
Pia kuona ndugu ni mojawapo ya malengo. Kwani wewe kila wakati kwenda Tanga unaenda kwa malengo gani? Kufuata chanjo ni lengo pia.Kumbe,mi nilidhani wanaenda kuona ndugu.
Sweet home sweet naita miujizaKituo kikubwa cha mabasi Arusha kimezidiwa Na Abiria wanaoenda Moshi, bado hali Ni tete kwa abiria wakiwa hawajui hatma ya safari kutokana Na kuwa wengi kuliko kawaida
![]()
![]()
Kuchukua Tunguli ama kuna vijiji vingine huko kila ukivuka nyumba moja ya pili kuna kabendera ka nyekundu watu wa ajabu sana nyirni limbukeni sana,hawaendi kwao hadi mwisho wa mwaka. Wakati mimi kwetu Tanga naenda kila ninapojisikia.