Hii ndo hali halisi leo Arusha

Hii ndo hali halisi leo Arusha

HUU NAO NI USHAMBA AMBAO WACHAGA WENGI WAMESHINDWA KUJINASUA. HUU BILA SHAKA NI UCHAWI FLANI HV
Hahaaa nimejisikia kucheka kalagha baho eti uchawi kwa vile wewe mwanga basi unaona wote jamii yako kajipange mdau wakati ni ukuta
 
HUU NAO NI USHAMBA AMBAO WACHAGA WENGI WAMESHINDWA KUJINASUA. HUU BILA SHAKA NI UCHAWI FLANI HV
Ati ushamba?kivipi fafanua mana kila kabila lina taratibu zake na tamaduni zake,,sasa huo ndo utamaduni wa wachagaa wewe kama haukuhusu utauitaje ushamba????mbona nyie mnachezana ngoma sisi hatujaita ushamba
 
Wanatafuta kick za kijinga tu. Ohoo mara kuhesabiwa, ohoo sisi ndo wenye uchumi. Yaani sitakaa niolewe na hili kabila. Stress zote za kusafiri sikukuu badala ya kupumzika home
Duu eti hutakaa uolewe na hili kabila haya kaolewe na chasaka wenzio mkaishi hukoo uchasakani karibu na simba
 
aa wapi utajifunza Kichaga lini wakati wenzio hapa tunaongea lugha ya kichawi tu.

hizi safari za mwisho wa mwaka sisi wenzenu tunaenda kwenye ibada za mazindiko migombani. so, hata kwa kupanda bajaji piga ua lazima niende!
Endelea na fikra za kiumaskini hizo,au wewe ndo mzindikaji
 
Chuki ya nini wanajamvi?

Hamna binadamu ambaye DNA yake imeandikwa ni msukuma, mchaga, mpare, mmakonde n.k

Binadamu wote ni sawa. Makabila is just a social construct term ku'categorize watu wenye asili moja kijeografia, kitamaduni na kiasili.

Lakini deep down in our genomes, cells and our atomic composition hamna tofauti kati ya mzungu au mweusi,mchaga au msukuma. There is only one race duniani. And that race is human beings. Achenini kusemana kwa tofauti ya ukabila ni ushamba na mambo yaliyopitwa na wakati.
 
Weee nawe umetokea msitu gani
 
Hivi waliotangaza kuwa maisha ni magumu sana mabasi yamepaki hamna abiria wa kusafiri, wanajisikiaje kuona watu wamekosa mabasi ,na wengine wakidandia coaster kwa nauli mara mbili.

Aibu ya kufungia mwaka hii.
Hali ya uchumi ni kweli ni mbaya mnoo tena mnoo ila tunachofanyaga tunajibana kwa aiji ya safari ya desemba unajitahidi kumake kwa namna yoyote ile
 
Weee nawe umetokea msitu gani
Shida iko wapi mkuu. Kuna shida gani?

Unaposema nimetokea msitu gani unamaanisha nini labda?

Acha tabia za kibaguzi ni kitu kibaya sana. Kama umekosa cha ku'comment kaaa kimya.
 
Ni kweli,mimi kwetu naenda bila kuanza kupanga bajeti wala malengo,ili mradi pametokea dharula,kama vile msiba,mgonjwa,harusi, Mama au Baba ananiita na lolote linalotakiwa mimi niwepo nafika iwapo tu ninao muda huo.
Hakuna jambo la msingi kama hili wa2 wa Kilimanjaro tunacho kifanya. Misba/ zarura/harusi nk tunaendaga but sio familia mzima ila Hizi taree nilazma tuondoke familia mzima tukawaone wazaz + wababu/ bibi pamoja na kufahamiana na kushauriana kifamiliaa
 
Shida iko wapi mkuu. Kuna shida gani?

Unaposema nimetokea msitu gani unamaanisha nini labda?

Acha tabia za kibaguzi ni kitu kibaya sana. Kama umekosa cha ku'comment kaaa kimya.
Nikuambie kitu ni bora uishi na mchawi kuliko mnafiki manafiki ni watu wabaya sana
 
UNAFIKI sana TZ wiki iliyopita iliripotiwa kuwa UBUNGO stand kuu mabasi yalikosa ABIRIA ikatangazwa ITV na baadhi ya Magazeti baadaye kamanda wa Traffic akafanya mpango wa kutumia daladala ziende Kaskazini kutoka Dar kusaidia mabasi makubwa kwa kuzidiwa abiria..
 
Back
Top Bottom