Sio kiki, ni mila na desturi tu, mambo mengine kama hayakuhusu unapita tu... Wachaga na mila na desturi zao huwaambii kitu, lakini popote duniani xmass ni wakati wa kukaa na familia na kureflect..Wanatafuta kick za kijinga tu. Ohoo mara kuhesabiwa, ohoo sisi ndo wenye uchumi. Yaani sitakaa niolewe na hili kabila. Stress zote za kusafiri sikukuu badala ya kupumzika home
Hakuna kiki, wanakwenda kwao kujumuika na ndugu, jamaa na marafiki zao kusherehekea sikukuu. Pia kudumisha utamaduni, mila na desturi zao.Wanatafuta kick za kijinga tu. Ohoo mara kuhesabiwa, ohoo sisi ndo wenye uchumi. Yaani sitakaa niolewe na hili kabila. Stress zote za kusafiri sikukuu badala ya kupumzika home
Hawaendi kwao kwa ajili ya Krismasi tu bali kudumisha mila ile wengine wali shindwa.Ina maana huko kwao tu ndio kuna Krismas?
She is right choice for you, and not for wachagga.Bado hujaolewa tuongee kiutu uzima, Mimi sio Mchaga.
Ok. Asante. Sijakuelewa unaposema popote duniani. Hata uarabuni?Sio kiki, ni mila na desturi tu, mambo mengine kama hayakuhusu unapita tu... Wachaga na mila na desturi zao huwaambii kitu, lakini popote duniani xmass ni wakati wa kukaa na familia na kureflect..
Yes, tembea uone! Kwa mfano ukienda dubai sasa hivi hutajua kama ni uarabuni, big hotels hata saudia utakuta xmass imenoga! Dunia kama kijijiOk. Asante. Sijakuelewa unaposema popote duniani. Hata uarabuni?
... Kwenu ni ngara kwani kamwe kuolewa au kujenga Dar hakuondoi ukweli kwamba mababu zako origin yao ni Ngara. Hao wachaga wengi pia wamejenga Dar, Mtwara, Mwanza etc lakini as the saying goes... Zunguka weee but home is home...Nimezaliwa Ngara, naishi Mtwara, Mr wangu anajenga Dar. Sasa hapa kwetu ni wapi?
... You never studied history, I don't blame you..Pare+Gweno+other tribes is very insignificant! Less than 4%. Mark my words
Sijakuelewa! Hata wakwe wa wachagga ambao siyo wachagga nao wamekuja uchaggani?... Kwenu ni ngara kwani kamwe kuolewa au kujenga Dar hakuondoi ukweli kwamba mababu zako origin yao ni Ngara. Hao wachaga wengi pia wamejenga Dar, Mtwara, Mwanza etc lakini as the saying goes... Zunguka weee but home is home...
Kama kwenu huna au mlikimbia uchawi, chuki, magonjwa na umaskini na hata mila na desturi, utamaduni za kwenu huna. Wewe ni mtumwa, na lazima uowaonee wivu wachagga.
wachagga kwao kupo na kuna maendeleo, wanakwenda kila mwaka kuungana na ndugu, marafiki, jamaa zao kusherehekea sikukuu na pia kudumisha mila na desturi na tamaduni wao.
Hii ndugu yangu iko dunia nzima, ungeona mpaka wa south africa na lesotho hiyo foleni nadhani usingesema hayo, wazungu wanasema labourer's wanarudi makwao holidaysWanatafuta kick za kijinga tu. Ohoo mara kuhesabiwa, ohoo sisi ndo wenye uchumi. Yaani sitakaa niolewe na hili kabila. Stress zote za kusafiri sikukuu badala ya kupumzika home
wachagga ni watu wanathamini elimu, maendeleo, mila, desturi na tamaduni zao wamekuwa ni chukizo kwa wasiopenda maendeleo na utamaduni nchini kote.Sasa umeongea nn? kama unaenda unapojiskia na wao pia wanaenda wanapojiskia ambapo ni mwisho wa mwaka... hhahhaha elimu bwana
Kipanga ni kuchagua. UtajijuNimezaliwa Ngara, naishi Mtwara, Mr wangu anajenga Dar. Sasa hapa kwetu ni wapi?