Hii ndo Dar bwana!

Mambo ya mabadiliko ya tabia nchi.
Sijui itakuweje kwenye hali ya nyuzi joto itakapofika/ ikifika mwaka 2050

watu watakuwa wanatembea uchi,dushelele kibao mtaani madesigner watahamia kwenye kudesign nguo za ndani itakua ishu?ukimwi km maleria tuu!
 
Siyo ile ya kujifunika mashuka mawili-mawili, mpaka sie wachafu tukapata sababu ya kukwepa kuoga.
Hili jua ni nowmer, ukiweka nyama chumbani kwangu ukirudi unakuta mishkaki.
Wageni karibuni Dar ya ukweli-kwelii...
Swaiba Mphamvu Mambo vp!
I missed you!
 
Last edited by a moderator:
....hii ndio Dar,
Sinza hii kila baada ya nyumba moja kuna Guest House......!!!!!!,
na ukija muda wowote unaambiwa zimejaaa..
hahahaaaaaaaaaaaa hii balaaa sasa
 
....hii ndio Dar,
Sinza hii kila baada ya nyumba moja kuna Guest House......!!!!!!,
na ukija muda wowote unaambiwa zimejaaa..
Na Kimara kila baada ya nyumba mbili kuna Mangi anachoma kitimoto.
 
Ula la lah hata saa sit mchana zimejaa Madame B
Hahahahaha.......... Hii ndio Dar sasa.... Gesti haus zisijae wakati vimwana wa kumwaga wanapatikana kirahiiiiisiiii


Jolly Club
Q bar
Sinza Africa sana
Fair Way ( Madame B usinisingizie hapa, mi nimeambiwa tu)
Meeda club sinza
Samaki Samaki - mlimani city. (Uwe na fedha ndefu uwachukue watato wa mlimani)
Billicanas club posta
Runway club
Club sunciro sinza shekilango
Meridian Club Mwananyamala
Mzalendo Pub Kijitonyama/makumbusho
Java Club
Maisha Club
Cine Club
Club Continental posta: NdembeNdembe, kanga moko
Travetine Magomeni - hapa ni kwa wale wanaopenda maushuzi ya kina mama wa uswahilini.
Kwa macheni- malaya wachafu
Sewa buguruni - malaya wachafu
Uwanja wa fisi/sifa- malaya wachafu
Kariakoo - malaya wa kiarabu na kisomali ( sehemu bado siijui)
Tandika nako malaya wa kutosha - sehemu sizijui
Temeke - hadi malaya wa TZS 200 wapo
Hall III - Chuo Kikuu dar es salaam (Udsm)
IFM ndo vicheche wa kumwaga - utawapata night clubs hasa boom likikata
CBE......... mamamamamama Khaa!!

Uzuri wa Dar hakuna ngoma wala UKIMWI, mambo yote kunasiana tu kudadadadadadeki

Source: Payuka.
 
Last edited by a moderator:
naona hiyo imezidi makao mapya arusha mana nako kule nii kiboko zenyewe nyingi kuliko nyumba za kupanga
Ulishaingia ngapi, CUTE?

Vitanda vyake vikoje? Vinapiga mikelele au? Magodoro yake?:becky:
 
Last edited by a moderator:
hahhaaaaaa kha! mji mzima uko ivo
 
Ulishaingia ngapi, CUTE?

Vitanda vyake vikoje? Vinapiga mikelele au? Magodoro yake?:becky:
mweh! sijawai kuingia jamani kwanini niingie huko wakati ana nyumba mhusika mkuu sasa huko kwanini jamani tena
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…