Hiki ndo ambacho najiuliza haiwezekani hapo eti wawe wanahadaa watu kwa uwazi namna hiyo.Yani kabisa sindano inatolewa ikiwa dawa imejaa kwenye bomba, hivi wangetaka kuficha ukweli wangetumia njia hiyo ya kijinga ambayo hata mtoto tu angewastukia?
Chukua tahadhari binafsi kwa kuvaa barakoa kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka pia ukae mbali na mikusanyiko mikubwa isiyo ya lazima.
Tuendelee na mada.
Kwa siku kadhaa zilizopita nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali ya raia wakiuliza kuhusiana na uhalali wa chanjo ya Covid19 na wengine kusema imechukua kipindi kifupi sana cha ugunduzi hata bila majaribio kadhaa kupitia wanyama, makundi ya binadamu mpaka kuhidhinishwa kuwa kinga hii inafaa kutumiwa duniani kote.
Pamoja na yote kumekuwepo na hisia za ajabu kwa raia wema kushtukia viongozi wakuu wa mataifa kadhaa duniani kuwa wanapewa chanjo ili kufisha na kuhadaa wananchi kupitia luninga.
Moja ya hadaa hiyo ni pale wanapodungwa sindano ya chanjo kuwa, ile sindano na bomba lake si halisi na kinachofanyika ni kuonyesha wananchi wao kuwa wamepokea japo si kweli.
Hapa chini kuna video fupi za aina ya sindano na jinsi inavyofanya kazi kuficha uhalisia wa tukio.
View attachment 1873320
View attachment 1873321
Ukiachana na video hizo juu kuna clip hii hapa chini, bado haijawa wazi kwa nini sindano imeshindikana kutolewa kifuniko chake ili iweze kuingia moja kwa moja kwa mpewa chanjo ila inatumika na kufichwa au kuondoa kamera watu wasijue kilichoendelea.
View attachment 1873327
Karibu kwa mjadala...
Nani kasema madhara yataonekana papo kwa hapo?.Week 2 zilizopita mimi, mama, baba na wadogo zngu tumechoma chanjo hatujapata tatizo lolote mpk sasa. Ile sku ya kwanza kuchoma mama tu ndo kichwa kilimuuma na hii kwasababu ye mgonjwa mgonjwa tuliobaki hatujasumbuliwa na chochote hadi leo
Pamoja na yote kumekuwepo na hisia za ajabu kwa raia wema kushtukia viongozi wakuu wa mataifa kadhaa duniani kuwa wanapewa chanjo ili kufisha na kuhadaa wananchi kupitia luninga.
Moja ya hadaa hiyo ni pale wanapodungwa sindano ya chanjo kuwa, ile sindano na bomba lake si halisi na kinachofanyika ni kuonyesha wananchi wao kuwa wamepokea japo si kweli.
But umeelewa hapoβπΎ?.Pamoja na yote kumekuwepo na hisia za ajabu kwa raia wema kushtukia viongozi wakuu wa mataifa kadhaa duniani kuwa wanapewa chanjo ili kufisha na kuhadaa wananchi kupitia luninga.
Hapo napo huwa najiuliza sana yaniInshu ni rahisi sana,kama hutaki kuchanjwa kaa kimya acha kupotosha umma..! Hivi mzungu akitaka kutuumiza anatukosa wapi? Yaani wewe umeshiba magimbi yako unakaa unasema eti wazungu hawana nia njema! Nosense!
Baada ya muda gani tutarajie kuona madhara ?Nani kasema madhara yataonekana papo kwa hapo?.