Hii ndiyo sindano inayozua gumzo kwa wachomwaji wa kinga dhidi ya corona.

Status
Not open for further replies.
Watu weusi ni viumbe vya ajabuajabu sana katika fikra na akili zao

Hata wakisoma bado ujinga na ushamba haviwaishi

Mtu mwenye akili anawezaje kususpect kitu kama hicho?
 
Swala la kusema anayetaka achome asiyetaka asfanye Time Will tell itafika mda hutaruhusiwa kwenda mwanza au mkoa wowote bila pass ya COVID-19 vaccine ....so kusema ni hiari sio kwel muda utaongea

Sawa kabisa, ila sasa hivi wakati bado ni hiari, tuheshimu uhuru wa kila mtu. Kwanza chanjo zenyewe zimekuja chache, hazitutoshi wote.
 
Watu weusi ni viumbe vya ajabuajabu sana katika fikra na akili zao

Hata wakisoma bado ujinga na ushamba haviwaishi

Mtu mwenye akili anawezaje kususpect kitu kama hicho?

Kweli watu weusi tuna mambo ya ajabu ajabu sana, lakini hiyo video propaganda imeanzia kwa weusi? Haujasikia kwenye hili hata weupe nao wapo wanao reason kama wanavyo reason weusi?

Nnachokubaliana na wewe, mfumo wetu wa elimu haumsaidii sana mtu uwezo wa kufikiri kwa kina na kuchambua mambo kwa kina ili afanye maamuzi sahihi. Kukariri , kuweza kujibu mitihani upate cheti ili uajiriwe ndio kipaumbele, hata kama utafaulu kwa kuibia, kudesa, kufanyiwa researh n.k, msisitizo wa kujifunza vitu na kupata ujuzi mdogo sana.
 
Chukua tahadhari binafsi kwa kuvaa barakoa kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka pia ukae mbali na mikusanyiko mikubwa isiyo ya lazima.

Tuendelee na mada.

Kwa siku kadhaa zilizopita nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali ya raia wakiuliza kuhusiana na uhalali wa chanjo ya Covid19 na wengine kusema imechukua kipindi kifupi sana cha ugunduzi hata bila majaribio kadhaa kupitia wanyama, makundi ya binadamu mpaka kuhidhinishwa kuwa kinga hii inafaa kutumiwa duniani kote.

Pamoja na yote kumekuwepo na hisia za ajabu kwa raia wema kushtukia viongozi wakuu wa mataifa kadhaa duniani kuwa wanapewa chanjo ili kufisha na kuhadaa wananchi kupitia luninga.

Moja ya hadaa hiyo ni pale wanapodungwa sindano ya chanjo kuwa, ile sindano na bomba lake si halisi na kinachofanyika ni kuonyesha wananchi wao kuwa wamepokea japo si kweli.

Hapa chini kuna video fupi za aina ya sindano na jinsi inavyofanya kazi kuficha uhalisia wa tukio.

View attachment 1873320
View attachment 1873321

Ukiachana na video hizo juu kuna clip hii hapa chini, bado haijawa wazi kwa nini sindano imeshindikana kutolewa kifuniko chake ili iweze kuingia moja kwa moja kwa mpewa chanjo ila inatumika na kufichwa au kuondoa kamera watu wasijue kilichoendelea.

View attachment 1873327

Karibu kwa mjadala...
Hizo ni propaganda za kitoto.Tuache ujinga
 
Viongozi wengi unakuta walishachoma kabla na uzinduzi unapokuja lazima wawe wa mfano hapo ndio mtaona sinema...kuchanja ni hiari sio lazima msitumie muda mwingi kubishana ukiona haina maana achana nayo na ukiona ni kinga kweli wewe chanja...
 
Kwa wajinga mnaopitisha manunuzi ya landcruiser kwa 400million huku watu wengi wakiwa hawana mahitaji ya muhimu kunahitaji chanjo ya sumu hapo ili wawaibie zaidi...
 
Nyuzi kama hizi na za kureport zifutwe, rubbish takataka.
 
IMG_9268.png
 
Swala la kusema anayetaka achome asiyetaka asfanye Time Will tell itafika mda hutaruhusiwa kwenda mwanza au mkoa wowote bila pass ya COVID-19 vaccine ....so kusema ni hiari sio kwel muda utaongea
Ni kweli usemayo, tukumbuke tulipoambiwa tukachukue vitambulisho vya uraia wako walio pinga, wengine tuliwahi first bach hatukuulizwa vyeti vyetu wala vya wazazi wala babu na bibi, lakini leo hii ukifuatilia utaambiwa ulete makorokoro kibao na wengine na hongo pia na mwisho wa siku unapewa namba!,
Angalizo: Supu ya mkia wa kondoo yanywewa ikingali moto! usingoje ipoe.
 
Chukua tahadhari binafsi kwa kuvaa barakoa kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka pia ukae mbali na mikusanyiko mikubwa isiyo ya lazima.

Tuendelee na mada.

Kwa siku kadhaa zilizopita nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali ya raia wakiuliza kuhusiana na uhalali wa chanjo ya Covid19 na wengine kusema imechukua kipindi kifupi sana cha ugunduzi hata bila majaribio kadhaa kupitia wanyama, makundi ya binadamu mpaka kuhidhinishwa kuwa kinga hii inafaa kutumiwa duniani kote.

Pamoja na yote kumekuwepo na hisia za ajabu kwa raia wema kushtukia viongozi wakuu wa mataifa kadhaa duniani kuwa wanapewa chanjo ili kufisha na kuhadaa wananchi kupitia luninga.

Moja ya hadaa hiyo ni pale wanapodungwa sindano ya chanjo kuwa, ile sindano na bomba lake si halisi na kinachofanyika ni kuonyesha wananchi wao kuwa wamepokea japo si kweli.

Hapa chini kuna video fupi za aina ya sindano na jinsi inavyofanya kazi kuficha uhalisia wa tukio.

View attachment 1873320
View attachment 1873321

Ukiachana na video hizo juu kuna clip hii hapa chini, bado haijawa wazi kwa nini sindano imeshindikana kutolewa kifuniko chake ili iweze kuingia moja kwa moja kwa mpewa chanjo ila inatumika na kufichwa au kuondoa kamera watu wasijue kilichoendelea.

View attachment 1873327

Karibu kwa mjadala...
Yaani kaondoka tu magufuli, haya mambo yamelipuka tena,wkt watu tulishayasahau.Hatari sana
 
Week 2 zilizopita mimi, mama, baba na wadogo zngu tumechoma chanjo hatujapata tatizo lolote mpk sasa. Ile sku ya kwanza kuchoma mama tu ndo kichwa kilimuuma na hii kwasababu ye mgonjwa mgonjwa tuliobaki hatujasumbuliwa na chochote hadi leo
RIP
 
Chanjo ya ina gani unaposema umepqta chanjo taja aina
 
Swala la kusema anayetaka achome asiyetaka asfanye Time Will tell itafika mda hutaruhusiwa kwenda mwanza au mkoa wowote bila pass ya COVID-19 vaccine ....so kusema ni hiari sio kwel muda utaongea
Basi kama kote unaona ni shida bora UFE, tu ndio utakuwa umewakomoa!!
 
Chukua tahadhari binafsi kwa kuvaa barakoa kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka pia ukae mbali na mikusanyiko mikubwa isiyo ya lazima.

Tuendelee na mada.

Kwa siku kadhaa zilizopita nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali ya raia wakiuliza kuhusiana na uhalali wa chanjo ya Covid19 na wengine kusema imechukua kipindi kifupi sana cha ugunduzi hata bila majaribio kadhaa kupitia wanyama, makundi ya binadamu mpaka kuhidhinishwa kuwa kinga hii inafaa kutumiwa duniani kote.

Pamoja na yote kumekuwepo na hisia za ajabu kwa raia wema kushtukia viongozi wakuu wa mataifa kadhaa duniani kuwa wanapewa chanjo ili kufisha na kuhadaa wananchi kupitia luninga.

Moja ya hadaa hiyo ni pale wanapodungwa sindano ya chanjo kuwa, ile sindano na bomba lake si halisi na kinachofanyika ni kuonyesha wananchi wao kuwa wamepokea japo si kweli.

Hapa chini kuna video fupi za aina ya sindano na jinsi inavyofanya kazi kuficha uhalisia wa tukio.

View attachment 1873320
View attachment 1873321

Ukiachana na video hizo juu kuna clip hii hapa chini, bado haijawa wazi kwa nini sindano imeshindikana kutolewa kifuniko chake ili iweze kuingia moja kwa moja kwa mpewa chanjo ila inatumika na kufichwa au kuondoa kamera watu wasijue kilichoendelea.

View attachment 1873327

Karibu kwa mjadala...
Kwa umri mkubwa na majukumu mengi waliyonayo viongozi wetu wa ngazi za juu Ni Hatari mno kuwachanja Chanjo hizi. Tunaweza kuwapoteza hata machozi tunayomlilia JPM bado hayajatuisha.
Kumbuka wazungu wameahidi kutoa pesa nyingi kwa Nchi itakayokubali kupokea chanjo hizi na kuchanja watu wake. Dollars nyingi tu. Sasa, wewe ungekuwa Rais, ungefanyaje?
Hapo ni kutimia kwa ule usemi, ... Punda Afe, ...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom