TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 13,744
- 21,194
Chukua tahadhari binafsi kwa kuvaa barakoa kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka pia ukae mbali na mikusanyiko mikubwa isiyo ya lazima.
Tuendelee na mada.
Kwa siku kadhaa zilizopita nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali ya raia wakiuliza kuhusiana na uhalali wa chanjo ya Covid19 na wengine kusema imechukua kipindi kifupi sana cha ugunduzi hata bila majaribio kadhaa kupitia wanyama, makundi ya binadamu mpaka kuhidhinishwa kuwa kinga hii inafaa kutumiwa duniani kote.
Pamoja na yote kumekuwepo na hisia za ajabu kwa raia wema kushtukia viongozi wakuu wa mataifa kadhaa duniani kuwa wanapewa chanjo ili kufisha na kuhadaa wananchi kupitia luninga.
Moja ya hadaa hiyo ni pale wanapodungwa sindano ya chanjo kuwa, ile sindano na bomba lake si halisi na kinachofanyika ni kuonyesha wananchi wao kuwa wamepokea japo si kweli.
Hapa chini kuna video fupi za aina ya sindano na jinsi inavyofanya kazi kuficha uhalisia wa tukio.
Ukiachana na video hizo juu kuna clip hii hapa chini, bado haijawa wazi kwa nini sindano imeshindikana kutolewa kifuniko chake ili iweze kuingia moja kwa moja kwa mpewa chanjo ila inatumika na kufichwa au kuondoa kamera watu wasijue kilichoendelea.
Karibu kwa mjadala...