Hii ndiyo Serikali ya wanyonge?

Hii ndiyo Serikali ya wanyonge?

Acheni use.. Mtu anafanya ukaguzi wa kawaida hapo anaangalia kitambulisho afu jitu linakurupuka na kusema anamlazimisha.
 
Hapo chini anaonekana mkuu wa wilaya akimlazimisha mama muuza mchicha kununua kitambulisho kwa sh 20000 wakati huo mchicha wenyewe hata magungu ishirini hayafiki.
Huku ndiyo kuwatetea wanyonge View attachment 1093921
Hivi kama angekuwa anatoa shilingi 200 kwa kila siku ndani ya siku 200 atakazofanya kazi itakuwa ametoa elfu 40.
Sasa unafuu uko wapi kuchukua kitambulisho kwa elfu 20 au kukata ushuru wa elfu 40 kwa siku hizo 200 na nimefanya siku 164 hajafanya kazi.
Maana ukipanga sokoni na maeneo rasmi kuna ushuru wa halmashauri.
Vipo vitu vingine wana jamvi tujiongeze tu.
 
Hakuna anayepinga huu utaratibu wa kupewa vitambulisho maana inaonekana kuwasaidia kimahesabu
Tatizo ni njia wanazo tumia kuwalazimisha kuvinunua hivyo vitambulisho ndiyo watu tunalaani ni za kimabavu sana

Matusi kwenu wana lumumba ni moja ya sera zenu kwa kuwa mmeishiwa mipango
Acheni use.. Mtu anafanya ukaguzi wa kawaida hapo anaangalia kitambulisho afu jitu linakurupuka na kusema anamlazimisha.
 
Ndiyo hivyo mkuu lakini bado kuna watu wanapiga makofi kisa ni agizo la mwenye kigoda wao
Hizi hizi biashara ambazo mama zetu wamezitumia kutulipia ada za shule na kutupatia chakula na malazi hata wakapata elimu na kufika walipo leo wanajisahau na kuona wamefika. Hawafikirii kuhusu kizazi kijacho,kuhusu wadogo zao na kaya itakula nini na jinsi gani familia itaishi...hapo mnunuzi atataka kununua kwa bei ya chini bado kitambulisho daaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhh!!!
 
Hakuna anayepinga huu utaratibu wa kupewa vitambulisho maana inaonekana kuwasaidia kimahesabu
Tatizo ni njia wanazo tumia kuwalazimisha kuvinunua hivyo vitambulisho ndiyo watu tunalaani ni za kimabavu sana
Mkuu wala hawalazimishwi tena unaweza ukalipa kwa awamu ila kwa muda mfupi.
Hapo ukiangalia hiyo picha sioni kama DC amemlazimisha ila huyo mama ameshavaa kitambulisho ambacho ni kama DC anakikagua.
Sema wewe picha umeipa maneno!
 
Hatuzungumzii kuwa mkuu wa willaya anamlazimisha au kamlazimisha huyo mama....tunazungumzia uhalisia wa huyo mama kuwa na kitambulisho cha elfu 20 kulingana na biashara anayofanya...
 
Mkuu wa wilaya ni mteule wa rais. Huyo ni mmoja kati ya wengi. Kukosa kwenda na vision hakuiondolei vision serikali ya kuwatetea wanyonge. Awe singled out yeye asaidiwe bila kigeneralise kuwa maDC wote hawana vision

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Hao wengine wanasikitika - Rais kuna watendaji watamharibia kura za 2020
Aliyeleta hivo kitambulisho ni Nani?na kama wanamharibia kwanini asitoe ufafanuzi juu ya wanaostahili kupata hivo vipande?mbona kakaa kimya?.utetezi wa kishamba
 
kama wanamharibia kwanini asitoe ufafanuzi juu ya wanaostahili kupata hivo vipande?mbona kakaa kimya?.utetezi wa kishamba

Nafahamu wewe siku 365 zako ni kulalama tu - unataka atoe ufafanuzi mara ngapi?
 
Mnafiki yule hakuna asiyejua,Kama alitoa ufafanuzi na wanaendelea kukaidi amewachukulia hatua gani?

Hatua za kuchukuwa ni nyingi (Open and Close) - hatuwezi kutaarifiwa kila hatua inayochukuliwa na mamlaka
 
Wanyonge wengine wanastahili haya maana ndio hao hao wanaomshangilia jiwe na kumuombea
 
Back
Top Bottom