Hii ndiyo Serikali ya wanyonge?

Hii ndiyo Serikali ya wanyonge?

Watakao mpigia kura Magufuli 2020, wakapimwe akili kwa kweli, awe CCM asie na Chama. Hili balaa ni kubwa si kidogo, pole yetu Watanganyika.
 
Tupo kwenye nyakati ngumu sana ila tusichoke kumuomba mungu atuepushie kikombe hiki
Watakao mpigia kura Magufuli 2020, wakapimwe akili kwa kweli, awe CCM asie na Chama. Hili balaa ni kubwa si kidogo, pole yetu Watanganyika.
 
Lazima walipie vitambulisho hiki ni chanzo cha mapato kwa taifa, kama chadema mnaona wanaonewa walipieni nyinyi.
Kumbe hiyo ni kodi?mi nilidhania ni vitambulisho vya kuwakomboa wanyonge
 
Basi wakeni wazi kuwa mnakusanya mapato kwa njia hiyo isiyo rasmi badala ya kuwadanganya wanyonge kuwa mnawasidia
Lazima walipie vitambulisho hiki ni chanzo cha mapato kwa taifa, kama chadema mnaona wanaonewa walipieni nyinyi.
 
Labda makonda akuongoze wewe maana hakuna mtanzania atakubali kuongozwa na mtu asiye na elimu hata ya kidato cha 4
Hiyo haiepukiki Magu ni mpaka 2025, akitoka huyo anaingia Makonda mpaka 2030. Nyinyi nendeni ICC
 
Basi wakeni wazi kuwa mnakusanya mapato kwa njia hiyo isiyo rasmi badala ya kuwadanganya wanyonge kuwa mnawasidia
Unataka pesa za kuendesha nchi zitoke wapi boss? Rudi darasani kasome kitu kinaitwa National Income utaelewa nini serikali inafanya.
 
Ina maana tra wameahindwa kazi yao?
Unataka pesa za kuendesha nchi zitoke wapi boss? Rudi darasani kasome kitu kinaitwa National Income utaelewa nini serikali inafanya.
 
Mbowe ni form six failure na anawaongoza na ndiye mentor wenu, wakina Sugu, Prof J wale wote darasa halimo ila ndio wamewashika akili.

Back
Top Bottom