Hii ndiyo Serikali ya wanyonge?

Hii ndiyo Serikali ya wanyonge?

Tayari ashapata hivyo hana huruma tena
Nilitamani hata ange nunua huo mchicha akawapa ombaomba haop sokoni angefanya jambo la busara.
1: Kumuungisha huyo Mama,na
2: Kuwasaidia ombaomba

Hivi angekuwa mama yake mzazi angemfanyia hayo anayoyafanya kwa huyo Mama?
 
Inasikitisha saana aisee
 
Hakuna aliye beza hapo wacheni mihemuko ya kiitikadi kwenye masuala ya msingi.

Watu wanalaani njia zinazotumika kuwapatia hivyo vitambulisho siyo za kiungwana
inawezekana sijui vizuri hebu nieleze ikoje? au sijaelewa!
 
Nimara ngapi tumewaona ma dc na ma rc wakiongozana na polisi kuwalazimisha wana nchi kununua hivyo vitambulisho?
Au wewe mwenzetu huyaoni hayo?
Nimara ngapi hao viongozi wamekuwa wakitoa lugha za vitisho kwa hao mnao waita wanyonge ?

hawa ni wapuuzi sina neno lingine la kusema wameshindwa kutoa elimu na kuwaelekeza wananchi faida wanazoweza kupata kwa hilo na wanafanya kazi kwa miemko! wangekuwa vizuri wangewaeleza wananchi umuhimu wake kwao ila wawekuwa watu wa sifa hili ni tatizo kwao
 
Mimi niko kinyume sana na mawazo yenu. Katika chaguzi zetu hapa Tanzania, CCM inavuna kura nyingi sana kutoka kwa wanawake, na hasa hawa wanawake wajasiliamali wadogo. Waacheni wavune matunda ya uaminifu wao kwa Chama. Hata wakiuziwa 100,000/kadi, sitalalamika.
 
Ndiyo hapo mkuu tukisema na kulikemea hilo tunabezwa na wenye uchungu na chama chao
hawa ni wapuuzi sina neno lingine la kusema wameshindwa kutoa elimu na kuwaelekeza wananchi faida wanazoweza kupata kwa hilo na wanafanya kazi kwa miemko! wangekuwa vizuri wangewaeleza wananchi umuhimu wake kwao ila wawekuwa watu wa sifa hili ni tatizo kwao
 
Tumekuelewa sana mkuu na mwenye macho haambiwi tazama
Mimi niko kinyume sana na mawazo yenu. Katika chaguzi zetu hapa Tanzania, CCM inavuna kura nyingi sana kutoka kwa wanawake, na hasa hawa wanawake wajasiliamali wadogo. Waacheni wavune matunda ya uaminifu wao kwa Chama. Hata wakiuziwa 100,000/kadi, sitalalamika.
 
Anatekeleza tu agizo la anayempa ugali...

Hukusikia jamaa anayetoa ugali aliwapiga mkwara lazima wahakikishe kila mjasiriamali awe na hilo gamba...
Ina maana huyo jamaa anafanya kazi tra?
 
Hapo ni punda afe mzigo ufike
Anatekeleza tu agizo la anayempa ugali...

Hukusikia jamaa anayetoa ugali aliwapiga mkwara lazima wahakikishe kila mjasiriamali awe na hilo gamba...
 
Hapo chini anaonekana mkuu wa wilaya akimlazimisha mama muuza mchicha kununua kitambulisho kwa sh 20000 wakati huo mchicha wenyewe hata mafungu ishirini hayafiki.
Huku ndiyo kuwatetea wanyonge View attachment 1093921
Kipindi cha miaka 5 ya JIWE tulipitishwa JANGWANI, Mchicha mtaji wake ni maji ya kumwagili, mama ananunua kwa jumla shilingi elfu mbili na kuuza kwa kupata faida ya elfu mbili, ana mume, watoto na wazazi wake wazee wanalelwa, Mwanasiasa[UVCCM] mwenye VXR la milioni 500 anamlazimisha mama maskini anunue kitambulisho ili mwaka mwengine wa fedha aletewe vx new model.
 
Back
Top Bottom