Kipindi hicho kila mmoja anatembe na Risiti yake ole wako uwe hauna utaisoma namba kwa mgambo
Mkuu wa wilaya ni mteule wa rais. Huyo ni mmoja kati ya wengi. Kukosa kwenda na vision hakuiondolei vision serikali ya kuwatetea wanyonge. Awe singled out yeye asaidiwe bila kigeneralise kuwa maDC wote hawana vision
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
ufafanuz utatolewa na kichinjio oktoba 2020Huyu mdada mwingine ameshika tama kunakitu anakitafakari halafu hajui akapatie ufafanuzi wapi .

mbeya 1Hapo chini anaonekana mkuu wa wilaya akimlazimisha mama muuza mchicha kununua kitambulisho kwa sh 20000 wakati huo mchicha wenyewe hata magungu ishirini hayafiki.
Huku ndiyo kuwatetea wanyonge View attachment 1093921
mbeya 1Hapo chini anaonekana mkuu wa wilaya akimlazimisha mama muuza mchicha kununua kitambulisho kwa sh 20000 wakati huo mchicha wenyewe hata magungu ishirini hayafiki.
Huku ndiyo kuwatetea wanyonge View attachment 1093921
na hao akina mama ndio watapewa kanga na pombe kipindi cha uchaguzi na ma tshirt makubwa,acha wapigike na ndio maana Tanzania haitaki kutoa elimu vzr imewanyima elimu watu wake na kuwaacha wajinga na wanyonge ,elimu ya vyeti ndio imeshika hatamu,hlf ukimsikia anayocheka akihutubia unasema bonge la kiongozi ,akitoa na laki 5 kwa kuigawa km njujgu ndio kabisa akina mm vigelegele juu,ila hao wakuu wa wilaya nao ndio zero brain hata km wamelazimishwa wauze au wavigawe serikali ipate pesa nao wajiongeze waangalie watu wa kuwapatia na sio mzigo ufike punda afeHapo chini anaonekana mkuu wa wilaya akimlazimisha mama muuza mchicha kununua kitambulisho kwa sh 20000 wakati huo mchicha wenyewe hata magungu ishirini hayafiki.
Huku ndiyo kuwatetea wanyonge View attachment 1093921
thanks sana mkuuKaribu sana hapa city pub tupate supu mkuu
HahahahahahahNakumbuka waliwahi kunivaa vaa migambo inabidi nitimue mbio lkn baadae nikasimama na kuwaonyesha kitambulisho cha shule basi waliishiwa nguvu vibaya
Mi sange
Daah umenikumbusha mbali sana na hiyo Sange. Nilinusurika kwenye ajali ya Sange 2001 kama unaikumbuka.
Wamekufanya nini baada ya kuwapa kura? Kilangila.Najuta sana kuipigia kura yangu Chadema 2015, ni kati ya makosa mabaya zaidi nimewahi kufanya hapa duniani. Najuta kwakweli