Hao wengine wanasikitika - Rais kuna watendaji watamharibia kura za 2020
Mkuu duuu nimeshindwa kuelewa nini umeandikaHapo chini anaonekana mkuu wa wilaya akimlazimisha mama muuza mchicha kununua kitambulisho kwa sh 20000 wakati huo mchicha wenyewe hata magungu ishirini hayafiki.
Huku ndiyo kuwatetea wanyonge View attachment 1093921
Hivi mkuu wa wilaya hana kazi mpaka akauze vitambulisho ambavyo havikidhi kikatiba?
Ngoja nikirudi nchin kwangu nitaelewa nimeweka kiporo cha kutafakariRudia mara kadhaa utaelewa tu
Vifutu wasumbufu sana.Hapo chini anaonekana mkuu wa wilaya akimlazimisha mama muuza mchicha kununua kitambulisho kwa sh 20000 wakati huo mchicha wenyewe hata magungu ishirini hayafiki.
Huku ndiyo kuwatetea wanyonge View attachment 1093921
Hili nimeweka kwenye kitabu cha matukio ya nyumbanUsije kusahau ikibidi fungia kwenye kabati
Nijibu harakaIpi bora kulipia elfu ishirini kwa mwaka au ukimbizwe na migambo na mchicha unyang'anywe? Nataka majibu haraka.
Mzee wa msoga katuweza kweli kweliAmakweli tunapitia kwenye tanuru lenye moto mkali
hao mgambo wanaowakimbiza hao kina mama ni raiya wa Congo??Ipi bora kulipia elfu ishirini kwa mwaka au ukimbizwe na migambo na mchicha unyang'anywe? Nataka majibu haraka.