Hii ndiyo Serikali ya wanyonge?

Hii ndiyo Serikali ya wanyonge?

Kwa maana yako huyo mama hicho kitambulisho kapewa bure bila kumkamua 20000?
Kwanini nyinyi uvccm mnajiondoa akili kisa kupigania kutetea maovu kwa jamii?
Mkae mkijua kuwa yote myatendayo yana mwisho wake
Mbona mama hapo ameshapata kitambulisho chake?,anachofanya Dc,ni kukisoma tu
Halafu nani amekupa mauzo ya huyo mama?
Bavicha mna taabika sana
 
Hapo chini anaonekana mkuu wa wilaya akimlazimisha mama muuza mchicha kununua kitambulisho kwa sh 20000 wakati huo mchicha wenyewe hata magungu ishirini hayafiki.
Huku ndiyo kuwatetea wanyonge View attachment 1093921
Ni mbinu mbadala ya kuwalinda wasibugudhiwe, au wasilipishwe zile Tsh 500/- za masoko/manispaa
 
Kama ndiyo hivyo mlishindwa nini kuwatangazia watanzania kuwa ni mojawapo ya ukusanyaji mapato?
Badala yake mkawadanganya kuwa ni kuwakomboa wanyonge
Na kwanini mnawalazimisha kwenye kuvinunua hivyo vitambulisho?tangu lini msaada unalazimishwa kwa mnufaika?

Usijitia ujinga kisa ushindani tu usio na maana
 
Hakuna cha ushindani hapo hamuwatendei haki hao wanyonge kwa kuwalazimisha kununua hivyo vitambulisho chini ya mitutu huo siyo utanzania tulio uzoea

Japo kuipata mia tano kila siku ni rahisi kuliko 20k kwa pamojaa...!! Ili aipate 20k lazima ajichange sanaa yanii kama siku 20 hiviii... Ni njia nzuri sema duuh mpaka mtu aelewe hasa hawa mama zetu wauza mboga balaaa...
 
Hakuna cha ushindani hapo hamuwatendei haki hao wanyonge kwa kuwalazimisha kununua hivyo vitambulisho chini ya mitutu huo siyo utanzania tulio uzoea
Upi ulio uzoea !? Hiyo mia tano wanatoa mbio na mgambo. Serikali ni revenue collection
 
Hakuna cha ushindani hapo hamuwatendei haki hao wanyonge kwa kuwalazimisha kununua hivyo vitambulisho chini ya mitutu huo siyo utanzania tulio uzoea
Kama ni malipo ya mwaka ni wastani wa Tsh 55/- kwa siku badala ya Tsh 500/' ya holela isiyojulikana inaenda wapi.
 
Nikwanini mnawalazimisha kuwalipisha chini ya mitutu?
Huo ndiyo msaada?
 
Chuma uliwa na kutu,
Cha mtu uliwa na watu,
Adui wa binadamu ni watu.

HIYO MISEMO IZINGATIENI POPOTE MUENDAPO ITAWASAIDIA KUJUA MAZINGIRA UNAYOISHI UNAZUNGUKWA NA NANI.

Ukosefu wa elimu kwa Wa Tz weng ni changamoto ndo maana wasomi wanaitroduce vitu mbalimbali though vinamaana ktika maslai ya nchi lakini ivyo vitu kimsingi HAVIJALETWA KWENYE WAKATI NA WATU SAHIHI.

WaTz saivi wanadeserve better than that..

WaTz saivi wanalia biashara haziendi kama zamani..swali je serikali ilifanya a simple research kuangalia hali za kibiashara kwa raia wake kabla ya kuitroduce izo ID?

HITIKISHO:Ifahamike kuwa izo ID ni nzuri hata mimi binafsi napongeza serikali kwa jitihada zake lakini kwangu mm naona hazijaletwa kwenye wakati sahihi hasa ukizingatia hali za kiuchumi za waTz.
 
Mkuu naamini hilo wazo la hivyo vitambulisho hakuna anaye lipinga ila njia wanayoitumia kuvigawa kwa walengwa ndiyo inaondoa ubinadamu kabisa
Chuma uliwa na kutu,
Cha mtu uliwa na watu,
Adui wa binadamu ni watu.

HIYO MISEMO IZINGATIENI POPOTE MUENDAPO ITAWASAIDIA KUJUA MAZINGIRA UNAYOISHI UNAZUNGUKWA NA NANI.

Ukosefu wa elimu kwa Wa Tz weng ni changamoto ndo maana wasomi wanaitroduce vitu mbalimbali though vinamaana ktika maslai ya nchi lakini ivyo vitu kimsingi HAVIJALETWA KWENYE WAKATI NA WATU SAHIHI.

WaTz saivi wanadeserve better than that..

WaTz saivi wanalia biashara haziendi kama zamani..swali je serikali ilifanya a simple research kuangalia hali za kibiashara kwa raia wake kabla ya kuitroduce izo ID?

HITIKISHO:Ifahamike kuwa izo ID ni nzuri hata mimi binafsi napongeza serikali kwa jitihada zake lakini kwangu mm naona hazijaletwa kwenye wakati sahihi hasa ukizingatia hali za kiuchumi za waTz.
 
Anawalizimisha watu wanunue hivyo vitambulisho wacha kukuta ufahamu wewe lumumba

Mkuu, nikufahamishe tu kuwa Lumumba naifahamu kama mtaa lakini kama ulidhani mimi ni mwanaCCM - umekosea. Sio mwanachama wa chama chochote cha siasa lakini hiyo hainiondolei haki ya kusema jambo la ukweli. Sasa nakusihi uangalie kamba ya blue ya kitambulisho hicho alichovaa huyo mama shingoni.

Ni vema ukafanya uchunguzi kidogo kabla hujashutumu jambo.
 
Nikisha iangalia hiyo rangi ya blue ndiyo itaondoa ukweli kuwa hao kina mama wanalazimishwa kwa mitutu kununua hivyo vitambulisho?
Hakuna anaye vibeza hivyo vitambulisho bali ni njia zinazotumika kuwalazimisha kuvinunua ndiyo watanzania wanazilaani

Utakuwa una tatizo la msingi. Sijui kama picha hii inaonesha "kulazimishwa" au hata huo mtutu. Na mimi sijaongelea kuwa vitambulisho vinabezwa au la au kuhusu njia zinazotumika ni halali au la. Sijui hata umetoa wapi kwenye post yangu hayo unayoyasema. Nilichosema tu ni kuwa PICHA haioneshi analazimishwa kuchukua kitambulisho na ndio maana nikasema kitambulisho huyu mama alikuwa tayari keshalipia na anachofanya huyo jamaa ni kukiangalia tu!!!

Bro, labda kuna jambo fulani linakuudhi muda huu lakini kwa kifupi umechanganya topics. Ninaongelea PICHA tu!!!
 
Back
Top Bottom