Hii ndiyo Serikali ya wanyonge?

Hii ndiyo Serikali ya wanyonge?

Halafu usikute hao wote wakaitilia kura CCM. Hili nchi linawajinga kinoma aisee
 
Mbaya sana kufanya jambo bila kuwepo tafiti, nashauri lifanyike jaribio akalishwe hapo huyo DC afanye hiyo biashara kwa mwezi aje na matokeo ndipo achukue uamuzi
 
sijui nitasema vibaya lakini huu ndio ukweli
  • tunapenda unyonge na hali ya kuonewa huruma kila mahala na unyonge wetu tunaukumbatia kama silaha kwetu tukiamini kuwa haya ni maisha.
  • kipi bora awe na kitambulisho atakacholipia shilingi 20,000 kwa mwaka ambacho kitamwezesha kuwa na fursa zifuatazo
    • kuwa na uhakika wa kuuza bidhaa zake kwa kadri ya matamshi ya selikali
    • pili kupunguza gharama za uendeshaji ambazo alikuwa kwa siku anatozwa si chini ya shilingi 500/- sawa na 15,000 na shilingi 180,000/- kwa mwaka.
  • wengi hamjui vizuri changamoto zilizopunguza vitambulisho hivi kwa kuwa wengi wenu hamjawahi kufanya kazi na watu hawa mkaona wanavyonyanyaswa na huu ni mwanzo zipo fursa nyingine ambazo zinaweza kutazamwa siku zijazo ikiwa ni kuangalia jinsi ya wao wanawezaje kuwa na bima ya afya kwa unafuu na pia kujiwekea akiba ya uzeeni katika mifuko ya jamii achilia mbali mazingira ya wao kuanza kuaminiwa na taasisi za kifedha siku zijazo
  • hivyo sio kila kitu cha kubeza
 
Hakuna aliye beza hapo wacheni mihemuko ya kiitikadi kwenye masuala ya msingi.

Watu wanalaani njia zinazotumika kuwapatia hivyo vitambulisho siyo za kiungwana
sijui nitasema vibaya lakini huu ndio ukweli
  • tunapenda unyonge na hali ya kuonewa huruma kila mahala na unyonge wetu tunaukumbatia kama silaha kwetu tukiamini kuwa haya ni maisha.
  • kipi bora awe na kitambulisho atakacholipia shilingi 20,000 kwa mwaka ambacho kitamwezesha kuwa na fursa zifuatazo
    • kuwa na uhakika wa kuuza bidhaa zake kwa kadri ya matamshi ya selikali
    • pili kupunguza gharama za uendeshaji ambazo alikuwa kwa siku anatozwa si chini ya shilingi 500/- sawa na 15,000 na shilingi 180,000/- kwa mwaka.
  • wengi hamjui vizuri changamoto zilizopunguza vitambulisho hivi kwa kuwa wengi wenu hamjawahi kufanya kazi na watu hawa mkaona wanavyonyanyaswa na huu ni mwanzo zipo fursa nyingine ambazo zinaweza kutazamwa siku zijazo ikiwa ni kuangalia jinsi ya wao wanawezaje kuwa na bima ya afya kwa unafuu na pia kujiwekea akiba ya uzeeni katika mifuko ya jamii achilia mbali mazingira ya wao kuanza kuaminiwa na taasisi za kifedha siku zijazo
  • hivyo sio kila kitu cha kubeza
 
Kwa njia hiyo naamini tutakuwa na watendaji wenye uweledi na heshima kwa waongozwa/watawaliwa
Mbaya sana kufanya jambo bila kuwepo tafiti, nashauri lifanyike jaribio akalishwe hapo huyo DC afanye hiyo biashara kwa mwezi aje na matokeo ndipo achukue uamuzi
 
Yaani mchicha hata elfu 3 haufiki ila wanataka 20,000/=

Biashara yenyewe anaifanya mara moja kwa mwaka.

Nilitamani hata ange nunua huo mchicha akawapa ombaomba haop sokoni angefanya jambo la busara.
1: Kumuungisha huyo Mama,na
2: Kuwasaidia ombaomba

Hivi angekuwa mama yake mzazi angemfanyia hayo anayoyafanya kwa huyo Mama?
 
Back
Top Bottom