Hii ndiyo Serikali ya wanyonge?

Hii ndiyo Serikali ya wanyonge?

Tatizo siyo kulipa kodi,
Tatizo ni njia mnazotumia kukusanya hiyo kodi ndiyo watu tunalalamikia kwani mgesema kuwa hivyo vitambulisho ni njia ya kuongezea mapato nani angewapinga?
Inakuwaje mnasema ni kuwasidia wanyonge wakati mnawalazimisha tena wakati mwingine kwa mitutu ya bunduki?Huko ndiyo kumsaidia mnyonge?
Kama lengo lilikua kukusanya 200bn toka kwa wajasiriamali 10m, halafu unajikuta hata hela ya kutengenezea vitamvulisho haijarudi ungekua wewe ungefanyaje,
 
Kwani nani alipeleka maombi ya kuuziwa hivyo vitambulisho?

Kuna wakati tumeambiwa kuwa kuna kundi la watu fulani linaomba kutengenezewa vitambulisho na viuzwe kwao?

Mbinu zaa kukusanya kodi ziko nyingi, mojawapo ni kama ile ya kugonga ngombe mihuri, jiulize lile zoezi liliishia wapi, tatizo la nchi yetu haijabuni vyanzo mbadala wa kodi na haya ndio matokeo yake, wazungu huziita "fast money" ikiisha ya vitambisho tutegemee jipya
 
Kazi ya ziada kwa CAG
Wacha tumwombee azidi kutufumbua macho
Mbinu zaa kukusanya kodi ziko nyingi, mojawapo ni kama ile ya kugonga ngombe mihuri, jiulize lile zoezi liliishia wapi, tatizo la nchi yetu haijabuni vyanzo mbadala wa kodi na haya ndio matokeo yake, wazungu huziita "fast money" ikiisha ya vitambisho tutegemee jipya
 
Anavyokagua utafikiri mtu mwenye akili
Ahahhahahahahahahha. Nilkua sitaki ku-comment bt umenfanya njitose ulingoni.

Kwa hiyo mkuu, huyu mkubwa hana akili au mm ndo cjaelewa.

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅😄😃😁😁🤣🤣
 
Mbona watu mbalimbali walishinda kesi ingekuwa hivyo:-
= Kasuku Bilago angeshinda kesi ya pingamizi la ushindi wa ubunge Buyungu dhidi ya Chiza mwaka 2015?
= Kesi nyingi Lissu kashinda, ingekuwa hivyo angeshinda?
= Wangwe ameshinda kesi ya kutaka wakurugenzi kutokuwa returning wa uchaguzi

Serikali inatambua na kuheshimu mahakama kama muhimili unaojitegemea!
rais akiwa kwenye sherehe za siku ya mahakama alishawah kutaka kesi za wahujumu uchumi ziharakishwe na wapigwe fain ili pato liongezeke. ametumia bl 3 kuanzisha mahakama ya mafisadi mpaka sasa ni pango la popo?
alipokiwa mbeya kwenye ziara aliapendekeza hakimu alomfunga suga apendekezwe kuwa judge.
alipokuwa anaungumzia makinikia aliamrisha LISU apigwe risasi na kweli baada ya muda alipigwa risasi, kuonesha nia mbaya na lisu ameagiza hata bunge lisimtibie wakati ni haki yake kisheria.
alipoingia madarakani alitukataza tusitazame bunge live ati tufanye kazi yeye hata akienda church ni live live live kila mahali.
aliwafukuza watumishi wenye vyeti feki akamuacha bwana bashite ati achape kazi kwani wengine walikuwa hawachapi kazi.
yupo madarakani mwaka wa nne sasa kagoma kuongez mishahara ya watumishi tena kinyume kabisa na sheria.
aliagiza wabunge wafukuzwe bungeni il awashughulikie nje leo kina mdee hawapo bungeni kwa mambo ya kipuuzi tu
hataki kukaguliwa na CAG
Hopless kabisa
 
Acha kukurupuka wewe, unapita TRA kwanza unakadiriwa kodi unayo takiwa kulipa ndio unaenda Halmashauri kulipia leseni yako.
Aliyekurupuka mimi au wewe uliyesema TRA haihusiki na leseni inayohusika eti ni halmashauri
 
Nionyeshe mahali nimesema TRA hawahusiki, nimesema sio kila kitu kinafanywa na TRA mfano mambo ya leseni za biashara zinatolewa na Halmashauri kwenye ofisi ya biashara.
Aliyekurupuka mimi au wewe uliyesema TRA haihusiki na leseni inayohusika eti ni halmashauri
 
Back
Top Bottom