hizo mahakama zinazoelekezwa cha kufanya na mtukufu mkuu wa wawakuu aliyekuja kufanya maajabu japo naye alikuwepo serikalini kwa miaka yote sasa anajifanya analeta maajabu?Sawa, mahakama ziliwakuta na hatia?
wananchi wa Arumeru wanateswa na askari na migambo sana sana, wanafukuzwa masokoni kwa kukosa vitambulisho, wengi wameacha kwenda sokoniHapo chini anaonekana mkuu wa wilaya akimlazimisha mama muuza mchicha kununua kitambulisho kwa sh 20000 wakati huo mchicha wenyewe hata magungu ishirini hayafiki.
Huku ndiyo kuwatetea wanyonge View attachment 1093921
Wapi hiyo?Hapo chini anaonekana mkuu wa wilaya akimlazimisha mama muuza mchicha kununua kitambulisho kwa sh 20000 wakati huo mchicha wenyewe hata magungu ishirini hayafiki.
Huku ndiyo kuwatetea wanyonge View attachment 1093921
Mi sangeMndali wa wapi mkuu?
Mimi ni wa Ilembo
Asante mkuu karibu nawe hapa sangeKaribu sana mtindi
Sio kweli mleta mada muongo. Huyu mkuu anaangalia hicho kitambulisho ambacho kimevaliwa na huyu mama muuza mchicha. Huyu mama tayari ameshalipa hizo 20,000!!
"NIKIWA RAIS MTALIMIA MENO"
[/QUOT
ebu naiomba hy clip mkuu maana kuna kuna jamaa yang mbishi sana kasema mzee baba hajayatamka hayo maneno
hizo mahakama zinazoelekezwa cha kufanya na mtukufu mkuu wa wawakuu aliyekuja kufanya maajabu japo naye alikuwepo serikalini kwa miaka yote sasa anajifanya analeta maajabu?