Hii ndiyo Serikali ya wanyonge?

Hii ndiyo Serikali ya wanyonge?

Waweza kukuta ....wote hao waliofikia umri wa miaka 18s waliipigia kura ccm
 
Naona anajiuliza hivi nikwanini niliichagua ccm?
Daahh masikini namuona m-dada hapo amevaa blauzi ya kijani na kitenge chekundu ameshika tama ... Ameishiwa nguvu kabisa
 
Mbona watu mbalimbali walishinda kesi ingekuwa hivyo:-
= Kasuku Bilago angeshinda kesi ya pingamizi la ushindi wa ubunge Buyungu dhidi ya Chiza mwaka 2015?
= Kesi nyingi Lissu kashinda, ingekuwa hivyo angeshinda?
= Wangwe ameshinda kesi ya kutaka wakurugenzi kutokuwa returning wa uchaguzi

Serikali inatambua na kuheshimu mahakama kama muhimili unaojitegemea!
Mahakama za Nchi gani?
Au hizi zilizomrejesha Lipumba CUF??
 
Kweli kabisa maana kina mama ndiyo wslikuwa kimbelembele sana kuichagua ccm kisa kupewa vikanga
Waweza kukuta ....wote hao waliofikia umri wa miaka 18s waliipigia kura ccm
 
Najuta sana kuipigia kura yangu Chadema 2015, ni kati ya makosa mabaya zaidi nimewahi kufanya hapa duniani. Najuta kwakweli
Waweza kukuta ....wote hao waliofikia umri wa miaka 18s waliipigia kura ccm
 
Ndiyo maana muuza madafu alitaka kumtoboa mh.machali na kisu tumboni kisa kitambulisho cha elf20 ,wakati toka asubuhi jamaa hajauza hata 2000
 
Back
Top Bottom