Ina maana tra wameahindwa kazi yao?
Hatuna haja ya kuongozwa na mfoji vyeti wa koromitje
Halaf limkuu la wilaya lenyewe limevaa chain shingoni kama manzi hivi, labda limevaa na vikuku miguuniHapo chini anaonekana mkuu wa wilaya akimlazimisha mama muuza mchicha kununua kitambulisho kwa sh 20000 wakati huo mchicha wenyewe hata magungu ishirini hayafiki.
Huku ndiyo kuwatetea wanyonge View attachment 1093921
Tuwashukuru walio mpeleka ujerumani kwa matibabu maana mlidhamilia kumtoa kafara
Huyu mzee ana laana kubwa sanaInasikitisha sana alafu eti unajiita mtetezi wao
HahaaAnavyokagua utafikiri mtu mwenye akili
Lol"NIKIWA RAIS MTALIMIA MENO"
Hatuwezi kuwalaumu,hawalaumiki wanapounga mkono hoja sababu ya kunyimwa Elimu bora ni kupata urahisi wa kuwatawala Sera ya misisiemu ya kutoa elimu dhaifu ina makusudio yake nayo ni haya yakutawala mileleAcha Tu Wakione Cha Mtema Kuni Maana Hao Ndio Wakwanza Kupiga Vigelegele Wakipewa Khanga Na Madela. Nadhani Kwahiki Kinacho Wakuta Yaweza Kuwa Fundisho Huko Mbeleni.
Aliyekudanganya kuwa unaweza kupata leseni ya biashara halmashauri bila kupitia TRA naniSio kila kitu kinafanywa na TRA, mfano unahisi kwanini leseni za biashara zinatolewa na Ofisi ya biashara ya halmashauri husika? Tatizo lenu mnajikuta kila kitu mnafahamu wakati hamjui lolote zaidi ya matusi kama ya afisa mdude
Aliyekudanganya kuwa unaweza kupata leseni ya biashara halmashauri bila kupitia TRA nani
Hatuwezi kuwalaumu,hawalaumiki wanapounga mkono hoja sababu ya kunyimwa Elimu bora ni kupata urahisi wa kuwatawala Sera ya misisiemu ya kutoa elimu dhaifu ina makusudio yake nayo ni haya yakutawala milele
TUWAMPE ELIMU YA URAIA TUTAONA MABADILIKO YA KWELI