GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,892
- 109,610
Sasa kama GENTAMYCINE nakuwa Informed hivi na nina Sources wangu ( Authoritave, Credible and Reliable ) kila Kona kwanini nisiwe Mshindi wa Jumla ( Bora ) wa Jukwaa la Michezo ( Sports ) hapa JamiiForums kwa mwaka 2022?
Haya chukueni hii na nawaomba muiamini tena kwa 100% kwani nimeitoa kwa Mtu aliyeko katika Mamlaka Kuu ya Michezo na ana Influence Kubwa katika Kikosi na katika Utendaji.
Sababu Kuu ya Wachezaji hawa Waandamizi wa Simba SC Kuachwa katika Kikosi cha Taifa Stars ni ile ya Kupenda zile Tabia za Uswahili ( Unyangindo ) kwa Wachezaji Wenzao wa Nafasi wanacheza Wao.
Ni Kweli Kocha Mkuu wa Taifa Stars baada ya Kuwaona wakicheza na Horoya FC aliwakubali kwa Vipaji na Viwango vyao lakini pia alishaambiwa na Makocha mbalimbali kuwa ni Wachezaji Mahiri na Kuwahitaji Kikosini lakini Kikwazo Kwake kuwapata kitakuwa ni Wao kuwa Wapiga Miba / Pini Wakubwa na Kuwaumiza Wenzao ambao wameshalalamika mno TFF ( kwa Viongozi ) kuhusu hilo.
Na hata mkisikia Wameitwa / Wamejumuishwa Kikosini Taifa Stars itakuwa ni Kutuzuga tu Wadau wa Soka ili tusihoji Kuachwa Kwao, ila huko Kikosini usije Kushangaa ukiona ama hawapangwi kabisa au wako Sub lakini hawatocheza.
Kuhusu Mchezaji Mohammed Hussein Tshabalala kuwa mpiga Miba / Pini mkubwa ( japo ana Kipaji halisi cha Kucheza Mpira ) wala GENTAMYCINE sishangai sana kwani niliwahi Kumsikia Baba yake Mdogo Tshabalala akisema kuwa Mwanae Tshabalala atacheza Yeye na hakuna wa kumuweka Mkeka / Bench labda tu aamue Yeye Kutokucheza na kutaka Kupumzika.
Kwa Wale Majuha ( Msio na Akili ) ambao mtanikatalia au Kutoliamini hili rejeeni Ripoti Maalum ( Taarifa ya Uchunguzi ) ilitoka Jana katika Gazeti la Michezo la Mwanaspoti ilisema kuwa Wachezaji wengi wa Tanzania ( NBC Premier League ) ni Washirikina ( Wanaroga Wenzao ) na ni Wapenda Ngono.
Greatest Of All Time huna Uwezo wa Kushindana nami kwa Habari za Michezo na Uchambuzi wako hivyo nakusihi Chuki yako Kwangu kwakuwa nilikushinda katika Shindano haitakusaidia na nakuhakikishia nikishindanishwa nawe tena Nakushinda / Nitakushinda Asubuhi tu.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
Cc: Bujibuji Simba Nyamaume
===
Pia soma: Kusema Shomari Kapombe na Mohammedi Husein hawakuitwa Taifa Stars kwa sababu ya ulozi huo ni ukosefu wa akili nakuwavunjia heshima wachezaji